kama wame anza mbona hatuja sikia damage yoyote au hawajui kulenga shabaha ilipo target?Hilo linawezekana kwa sababu Houth wameshaanza kutumia droni za baharini na Marekani haina teknolojia ya kuzizuia mpaka sasa.
Kama Misri imeona inaumia kwa meli kuzuiwa kupita mferejini kwake basi wasaidie kuwaokoa wapalestina walio mpakani kwake.Na wazungumze na Houth namna kupata ufumbuzi.Na Bado Hadi Israel waombe poo View attachment 2909689View attachment 2909690
Meli ya mizigo ina mali za mabilioni iko njiani kuzama na wewe hujaona tatizo.kama wame anza mbona hatuja sikia damage yoyote au hawajui kulenga shabaha ilipo target?
Hizo carrier si zinalinda meli,houthi wanapiga meli mbele ya carrierembu inamankusweke kwanza uondoe ilo wenge ulilo nalo kijana
hao houthi kama wana ubavu wazamishe lidubwasha limoja wapo katika zile aircraft carrier zinazo rusha ile midubwana inayo kwenda kupiga yemen na kurudi
Lengo lao sio izo meli za marekani kumbukamzee acha kujitekenya ayo mameli ya kimarekani yapo apo redsea hatuja wahi sikia hata moja imezamishwa mna tegea za kiraia ndo zinashambuliwa hao houthi hawana tofauti na kijibwa koko cha kwa mtogole
Mbili zimelengwa huko hujasikia?kama wame anza mbona hatuja sikia damage yoyote au hawajui kulenga shabaha ilipo target?
Hiyo sheria ya nato inasemaje kama mwanachama wao ndio chanzo cha vita? Marekani Red sea anatafuta nn?Nakuuliza tena Taifa la Marekani liko vitani na Houthi? Unajua Marekani ni mwanachama wa NATO? Unajua sera ya NATO inasemaje kama mwanachama mmoja akiwa vitani? NARUDIA TENA JE MAREKANI IKO VITANI NA HOUTHI? NA LINI MAREKANI AME DECLARE WAR AGAINST HOUTHI?
Anamaanisha kwa sheria za nato mwanachama akiingia vitan nato wote wanatakiwa wasupport.. point yake ni kuwa marekan hajatangaza vita na houth.. marekan alitangaza vita na libya kumuondoa Ghadafi na Nato wakaingia same to Sadam..Hiyo sheria ya nato inasemaje kama mwanachama wao ndio chanzo cha vita? Marekani Red sea anatafuta nn?
Unadhani kwanini hatangazi? Hakuna biashara itafanyika middle east bahari zote zitafungwa na iran na Mrusi uchumi wa dunia utayumba saudia mafuta yote yatiwa kiberiti kiufupi itakua ni vurugu middle yoteAnamaanisha kwa sheria za nato mwanachama akiingia vitan nato wote wanatakiwa wasupport.. point yake ni kuwa marekan hajatangaza vita na houth.. marekan alitangaza vita na libya kumuondoa Ghadafi na Nato wakaingia same to Sadam..
Marekan akitangaza vita na Houth asubuh tu utaona jet fighter za Us, Uk, germany na wengi wote no question ask..
Kwa kukuelewesha vita ya The so called UN/Nato dhidi ya kumuondoa ghadafi ni marekan (presidaa obama ) ndo alitangaza kwa kisingizio anaua raia wa libya so marekan anaenda kulinda wa raia wa libya..
Na akaingia akatangaza no fly zone kwenye space ya libya.. imagine rais anapigwa ban kwenye anga lake akiwa ndan sembuse hao Houth ambao wana attack kila meli kuanzia za us, euro. Za Asia.. so marekan akitangaza vita na Houth ni rais kupata sopoti and it will be an esy war.. atampiga tokea saudi tokea baharini tokea yemen upande wa govt..
So bila kujali Nan ana haki maana wote wanamakosa (houth and us na wenzie) maana watakaoumia ni raia wa kawaida wa yemen. nchi yenyewe tayari ina vita mwaka wa kumi huu ..
Ila Houth hayuko same league na Us ..