Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

Papa ni kiongozi wa Kanisa Katoliki, lakini hakuna maana kwamba kila atakalosema hata kama lipo kinyume na maadili, lazima lifuatwe na makanisa mengine yote ya Katoliki duniani.

Mengi ya haya madai yenu mnayoleta mmeyaegemeza kihisia zaidi, hamna uthibitisho wa kueleweka, au kama unao ushahidi hilo unalosema lilishawahi kutokea kabla, hebu tuwekee hapa tuuone Papa yupi aliwahi kusema lifanyike jambo la kufanana na hilo na likafanyika.
 
Mataifa mengi ya magharibi yana support hivyo vitendo vya ushoga, sijajua kwa nini mleta mada umeamua kukomaa na wamarekani peke yao, ungetakiwa uguse na kule kwa wengine ambao nao wana balozi zao hapa Tanzania.
Kuna njia(model) katika kudeal na kuanalyse mambo inaitwa SMART

1. S inasimama badala ya "SPECIFIC"
Kwamba unapodeal na Issue be specific.

Huwezi kuwa Jack of everything, Ukisema uwe broad ktk kitu utaandika volumes humu, maana huwezi kuandikia nchi zote za Ulaya, America, Asia etc.

Bali unachagua moja ambayo wewe binafsi unahisi ina impact zaidi, au ambayo unaielewa zaidi. Kisha mtu mwingine naye ataandikia nchi nyingine au kitu kingine
 
Kwa nini umdisown mtoto wako akiwa shoga kama unadhani ushoga siyo issue?
 
Ulitaka aruhusu ushoga?
 
Wanawake hawaezi kufanya maamuzi magumu au kupambania chochote??
Mbona sasa hivi unatawaliwa na Rais, spika wa bunge, mkuu wa uhamiaji, na mawaziri kibao ambao wote ni wanawake na nchi inaenda vizuri tu??
Kuna mwanamke jeshini ambaye vitani hukaa Frontline uwanja wa Mapambano?
 

Mzee unaongopa urusi haijawai pitisha wala kuruhusu ushoga ! ila ilikua na torelence kiasi fulani!
Hii ni long way kabla hata ya vita na western wengine walikua wanajaribu kuisakama urusi jaribu kusikiliza interview zake za nyuma
 
Upo vizuri upstairs,

Bt tujikite kth HOJA ya USHOGA ambayo ni mtambuka,

Mungu asijeichoma Nchi yetu ikabaki majivu.
 
Kuwa specific kwenye jambo specific hakuna shida, lakini kuwa specific kwenye jambo la jumla kwangu sioni kama ni sahihi.

Ingetakiwa umguse huyo mmarekani, muingereza, mfaransa, na mjerumani atleast ili kuleta uwiano sahihi kwenye mada yako.

Lakini kufanya hiki ulichofanya, ni kama vile una ajenda ya siri kwa mmarekani, na inawezekana unataka kueneza chuki dhidi yao kwasababu zako binafsi [Mashariki ya Kati].
 
Tukubali kutokubaliana

Kwa taarifa yako, historically waliyoyafanya waingereza , na wafaransa huko mashariki ya kati ndani ya miaka 200 iliyopita, marekani ni chekechea.
 
Lakini ushoga upo Afrika kwa mda mrefu sana hasa kwa mwambao wa Afrika mashariki
Bado hauko open, ila wazungu wanataka kuunormalize, yaani toto lako la kiume likuletee basaha wake nyumbani halafu likwambie "daddy this is my fiance"
 
Kuna wazungu wachache bado wana akiliView attachment 2550948
Kuna wazungu ambao bado wana strong religious beliefs na hivyo hawataki haya mambo, na wengine wana wasiwasi mkubwa kuhusu maadili kwa watoto wao ikiwa mitaala ya shule inawekewa vitu vinavyotambua haki za mashoga. Swala lilopo inaonekana kwamba wanaosukuma hii ajenda wana nguvu kubwa ya ushawishi na fedha na pia ushawishi wa kisiasa na kimaamuzi kupitia chama cha democrats hivyo kuwa na uwezo wa kupenyeza haya mambo kwenye sheria za nchi.​
 
Sikubaliani na hilo kupigakelele wakati kuongelea ushoga kila siku ndio mnalipromote kwe jamii ambazo zilikua hazijawa exposed kwenye hizo issue kwanza mtu anaefuatilia na kuongelea ushoga kila mara na wasi wasi nae mambo mengine kwa tamaduni za kiafrika sio ya kuyapa airtime kabisa.
 


Kuupigia kelele ushoga kwani imekujaje??, ni hao waunga mkono Ushoga ndio wamekuwa wa mwanzo kuutangaza kwa gharama zote mbaya zaidi wamekuwa wakituwekea masharti ya kuukubali ushoga ili watupe misaada, viongozi wao wa kisiasa wanatangaza kuwa ushoga ni moja ya haki za binadamu na sio uhalifu wkihulka, mafundisho ya kutambua ushoga yalianza kuingizwa kwenye vitabu vya shule za awali nk, sasa katika mazingira hayo mtu mwema unawezaje kukaa kimya kupinga ushoga ilihali wao mashoga wanaupa ushoga airtime ??

Mashoga kutumia airtime kuutangaza na kuuhamasisha Ushoga ni halali ila sisi kutumia airtime kuupinga iwe haramu??!!
 
Kwa nini umdisown mtoto wako akiwa shoga kama unadhani ushoga siyo issue?

Again, I don't condone ushoga ila nina tatizo na nguvu inayotumika kupambana na hili jambo.

Mkuu nikuulize kuna mashoga wangapi mtaani kwako? Afu niambie lini mlipata maji na umeme wa uhakika kama hadi leo mnapewa misaada ya ujenzi wa vyoo vya shule na mashirika ya kimataifa.

In the words of the great t blj msome chini hapa labda utaelewa cause I couldn't say it better:

 

Asante kaka. I couldn't agree more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…