Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
 
Unatuonesha nini sasa kuhusu Mungu? andamaneni basi mseme ameua watoto na kina mama wasio na hatia..

Mjanga yapo tokea enzi za Nuhu. Pia Marekani ni eneo la matukio kama hayo.. so ni kawaida sana kwao kila misimu.. wana reset tu then wana back kuwa the great
 
Hapo ndio issues za Mungu zinapokuwa controversial. Kama Mungu anataka kuwaadhibu wamarekani kwa kuisaidia israel, si apeleke hayo mafuriko Pentagon? Au kwa vile Mungu ni muweza wa vyote, si apeleke hicho kimbunga kikapige wanajeshi wa Israel huko middle east?
Kimbunga Milton kimewaathiri raia wa kawaida ambao pengine hawana hata habari na mambo ya mashariki ya kati.
 
Na lile tetemeko la Uturuki na ile Boxing Day Tsunami na ile Tsunami ya Japani na lile tetemeko la Iran na ille Typhoon iliyopiga Phillipines hayo yote ni maeneo wanayoishi Wazayuni?!

We Bibie umechanganyikiwa.
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwq cha matajiri wa Kizayuni kwenda ku;la bata. Hata mtoto wa nyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Unahangaika sana we ajuza!

Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.

Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
 
Unahangaika sana we ajuza!

Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.

Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.

Muoneshe hii huyo ajuza

Screenshot_20241015-013323_Firefox.jpg
 
Back
Top Bottom