Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Matukio ya asili tuu hayo na yanatokea sehemu mbalimbali duniani

Muoneshe na hili akuelezee
Screenshot_20241015-013323_Firefox.jpg
 
Kwahiyo unataka kusema Mungu kaamua kuua watu wasio na hatia na kuwaacha waliofanya maamuzi ya kumwaga damu za watu. Kuendelea kuunda madarakani (kwanini asidili na netanyahu moja kwa moja)

Habari kama hizi zinazotoka kwa watu wanaoendeshwa kwa hisia na mihemko(pengine hata changamoto ya afya ya Akili) ndio zinazosababisha watu wa dought haki huruma upendo utukufu na hata uwepo wake Mungu.

Kwa mtazamo wangu kuhusisha majanga ya asili na Mungu mara nyingi sio sawa kwasababu majanga mengine ni yanatengenezwa na watu, tunayaita majanga ya kiasili ni mazoea tu lakini sayansi na wanasayansi washafikia level ya kutengeneza tetemeko mafuliko vimbunga etc.
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Mwanamke una udini wewe ni balaa,vp jana mumeo ulimpa Tigo? Kwa sababu Quran inaruhusu waume zenu wawale Tigo kama suna,
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Bibi kubwa la maadui linasebuka kwa vimbunga
 
Ndo huyuhuyu anayesema kwamba shuleni tulikwenda kusomea ujinga..ama kweli siku zinaenda kasi
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Hali ya hewa tu we bibi,
tulishasema uwe unaosha hilo pochi kabla ya kuja kuongea uvundo hapa.
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Dear amka utajikojolea, ndoto zingine zinachekesha!
 
Ndio maana ndugu zetu nyinyi ni rahisi sana kuamini stori za bikira 72 na mito ya maziwa, Pombe na asali
Ngoja kwanza; wale mabikira 72 hope ni kwa ajili ya wanaume; wanawake watakao kwenda peponi kama sister FaizaFoxy wao inakuaje? Au wao wataachwa na ugwadu wao?
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Kweli wajinga na punguani hawataisha Tanzania!!

Marekani imewahi kupata majanga mangapi ya kiasili, kuanzia matetemeko mpaka vimbunga? Kwa hiyo nyakati hixo zote, ilikiwa ni adhabu ya Mungu kwa sababu ya vuwanda vya silaha? Maafa makubwa ya majanga ya kiasili yanewahi kuzipiga nchi za Japan, Iran, Mexico, India, Uturuki hivi karibuni; je, huko kote kuna wayahudi? Je, huko kote ni kwa sababu wanatengeneza silaha?

Kwa nini, mnapenda uwongo na hadaa? Mashariki ya kati, kiwastani, ndiyo inaongoza kwa vifo Duniani kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe, je, tuseme nchi za kiarabu zimelaanika?
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Umesahau tetemeko la mwaka jana lililoua waislamu wengi pale Turkey? Masfa ya marekani hayafiki hata robo ya kilichotokea Uturuki. Je allah aliwaadhibu?
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Historia ya maeneo hayo inasemaje ki hali ya hewa kwa miaka 30 iliyopita vimbunga na majanga kama hayo ni kawaida ama ndiyo mara ya kwanza?
 
Waislam wote duniani wanapenda wafe ktk ibada ya hijjah. Makafiri hufa ktk zinaa na vilabu vya pombe
Acha kuchekesha watu wewe, kwamba wale watu wanaokwenda kuhiji huaga wamejiandaa na KUFA? Sasa mantiki ya sister Faiza kwamba Marekani imepigwa na Mungu halafu maelefu wanaokufa wakiwa HIJA isiwe Mungu? Kwanini hao tusiamini kama pia kile ni kipigo kutoka kwa Mungu?
 
Back
Top Bottom