Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Mama/baba kila mwaka gulf of Mexico kuna hurricane tena zaidi ya moja so ni kawaida tu na washazoea usiunganishe matukio ya hali ya hewa na brainwashed mind thinking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akiwa mfuasi wa allah akili zinamruka.Na lile tetemeko la Uturuki na ile Boxing Day Tsunami na ile Tsunami ya Japani na lile tetemeko la Iran na ille Typhoon iliyopiga Phillipines hayo yote ni maeneo wanayoishi Wazayuni?!
Hata kikiwa kipigo lkn kipigo kizuri maana wamekufa wakiwa ktk ibada. Wengine wanakufa wakiwa ktk zinaaaAcha kuchekesha watu wewe, kwamba wale watu wanaokwenda kuhiji huaga wamejiandaa na KUFA? Sasa mantiki ya sister Faiza kwamba Marekani imepigwa na Mungu halafu maelefu wanaokufa wakiwa HIJA isiwe Mungu? Kwanini hao tusiamini kama pia kile ni kipigo kutoka kwa Mungu?
Wewe mfuasi wa nani?Mtu akiwa mfuasi wa allah akili zinamruka.
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Kwamba Kuna uhusiano?Nimekejeli nini sasa? kwani hakijatokea kimbunga? Tena viwili, unazijuwa historia za sehemu vilipotokea na mazayuni?
Ajuza akishiba alkasusu na tende akili yake inaamia makalioni,anabakia na akili ya kuvukia lami tuUnahangaika sana we ajuza!
Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.
Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
Ndio maana napenda bato kati ya ngabu na fox studios shida hamtokei vipi tulianzieah weekend ?Unahangaika sana we ajuza!
Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.
Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Huyu mjinga mleta mada, hawezi kulielewa hilo!Muoneshe na hili akuelezeeView attachment 3125205
Historia ya maeneo hayo inasemaje ki hali ya hewa kwa miaka 30 iliyopita vimbunga na majanga kama hayo ni kawaida ama ndiyo mara ya kwanza?
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Huyu bibi anatakiwa kusaidiwa. Kuna sehemu kichwani hakupo sawa. Anaandika vitu vya ajabu, ambavyo hata mjinga wa wastani hawezi kuandika.Mkiambiwa mna matatizo ya akili mnakataa.
Hizo ni natural calamities zinatokea all the time nchi mbali mbali duniani. Asia, africa, south america huwa yanawakuta sana.
Si kila kitu ni kujifanya advocate wa Mungu