Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Marekani lazima wamalizwe kabisa na Muumba wetu, shenzi sana hawa.
Haya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.

Uislam kwa sasa utatokea Magharibi.
 
Kwa hiyo vita vinavyotokea mashariki yabkati na kuua watu ambao hawana hatia, watu ambao hata hawajui nini maana ya serikali na hata hawajui kusema. Je hilo siyo pigo?
Pigo la kusabishwa na watu ndiyo majibu yake yanatoka kwa Muumba wetu.

Kwa wenye kufikiri wanalielewa hilo.
 
Hawa wajinga wote hakuna ambaye huwa wanakimbilia uarabuni, wote utakuta wanajazanq airport za makafiri

😛
Kwa makafiri ndiyo kwenye maisha. Wee huoni hata hapa Tanzania 🇹🇿 mikoa ya makobazi ilivyo pauka. Hawataki kazi, kutwa kucha kupiga umbea vibarazani
 
Haya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.

Uislam kwa sasa utatokea Magharibi.
Labda uislam wa ma freemason,,,maana huko ndo mnakoenda kuokoteza matakataka na kusema dini
 
Na zile Typhoons za Asia zinazoua maelfu na Matetemeko ya Ardhi kule Uturuki? Na wale Allah anawaadhibu Wazayuni?!

Ana uwezo wa chini sana wa kufikiri. Umemtajia yote hayo na sidhani kama ana jibu. Isitoshe, hapo Florida hakuna misikiti au watu wa mudi walioathirika na hiyo catastrophe?
 
Mada gapa ni Florida na North Carolina, vimechezea kichapo cha Muumba wetu, kwanini?
Kwasababu watu wa allah wamejazana kwenye nchi za makafiri na wanapeleka laana zao za mashariki ya kati huko
 
Dini zinawehusha Watu kiupeo na maarifa, 2024 June na July Saudi Arabia kulitokea kimbunga kikali sana na china pia palikuwa na mafuriko hatari, inamaana hao pia ni pigo toka kwa mnyaazi mungu?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.

Bro, ndiyo maana tunasema hakuna mtu ambaye analaumiwa duniani kwa kuleta janga hili la koobaz kama mudi. Mudi ni janga la dunia. Amefundisha watu kukaa na kinuongo, visas na roho mbaya. Mudi angekuwa hai ilibidi apigwe na mawe mpaka are.
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Kumbe ni mungu tu,,nikajua ni yule mud na Allah
 
Kwani wewe Muumba wako nani?Mimi nafahamu Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Soma:

Qur'an 30:33 Na yakiwapata watu matatizo na misukosuko wanamuomba Mola wao, hali ya kumtakasia, Awaondolee mashaka, na Anapowarehemu na Akawaondolea mashaka, punde si punde linatoka pote la watu kati yao wakarudi kwenye ushirikina mara nyingine wakamuabudu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu.

Hizi nukiu wapelekee wenzako kule masjid. Hapa sisi unazingua tu.
 
Unatuonesha nini sasa kuhusu Mungu? andamaneni basi mseme ameua watoto na kina mama wasio na hatia..

Mjanga yapo tokea enzi za Nuhu. Pia Marekani ni eneo la matukio kama hayo.. so ni kawaida sana kwao kila misimu.. wana reset tu then wana back kuwa the great
Hpana, usiseme uongo. Wenyewe wamesema kiwango hiki haijawahi kutokea Miami wala Florida, wewe hiyo ya kila siku umeitowa wapi?

View: https://youtu.be/j3QoCNcivT8?si=EOvqpxr1ltdjLM0N
 
Kuna siku utaiona nuru na utaacha kuabudu viumbe wenzio.

Cha ajabu, siku Marekani ilipoidhinisha pesa za kuwadidimiza Wapalestina ndiyo siku kimbunga kikapamba moto:

View: https://youtu.be/OurYYhQvAMc?si=gS_NS5wpcxSuXeii

Niione nuru kwa makobazi.....hawa tunashinda nao tunawaona mambo yao halafu ndo tuione nuru kupitia hawa makobazi kweli........labda siku nikiamua kuanza kufuga majini nitawafata
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Hii n janga kama janga zngne kama ya jangwan kpnd chamvua aiusian 🤣🤣🤣 bongo dah alaf mtu kama uyu anakuja kutuamnisha n Allah anafanya yake kisa waarabu wanachapka vp bhana Congo yy Allah ajaona uku kwa Wa Africa wakiuliwa?
 
Soma kija na, usingoje kudanganywa tu.

Mwongozo wa Qur'an unatuhusu wote.

Yaani jinsi nilivyo na akili nyingi hivi nianze kuongozwa na kuluwan. Eti nami niwe kwenye kundi la wasubiria ahadi za peponi za mabikira 70. 😛
 
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.

Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.

Hii Florida:

View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl

Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.

Na hii ni North Carolina:

View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7

North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.

Una uhakiga gani kama mungu ndo amefanya hayo yoye? Shetani na yeye ana nguvu.
 
Back
Top Bottom