Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Bado hajaanza mada zake za chat gpt inamtukuza allahHuyu Bibie ni bingwa wa kuspinnš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajaanza mada zake za chat gpt inamtukuza allahHuyu Bibie ni bingwa wa kuspinnš
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Una uhakiga gani kama mungu ndo amefanya hayo yoye? Shetani na yeye ana nguvu.
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Hizi Natural ni Disasters kama Climate Change zinachangiwa na Human activities.
Lak8ni kwa Mtu aliyelewa Dini atasema ni Allah.
Sio mapepo...majini hayo.....Ni mapepo yamepanda au mimi ndio sielewi?
Huyo Allahu ndo nani?......hahahahahUnaona jinsi allahu alivyo mkatili kwa kuwapiga isivyo haki watu wa Florida. Kwa sababu kama ni madhambi binadamu wote tumefanya mengi. sasa kwa nini huyu allahu anawapa kichapo watu wa jimbo moja huko marekani?
Wee waache tu, wanatakiwa kusilimu.Haya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.
Uislam kwa sasa utatokea Magharibi.
Punguza hasira, umechanganya mambo mpaka haueleweki. Kunywa maji, shusha pumzi, jamba kidogo, halafu andika moja moja. Uzi upo tu huu hauendi mahala kwengine.
Usiwe na kiherehere.
Huyo Allahu ndo nani?......hahahahah
š¤£š¤£š¤£ tatzo afya ya akili just comment ilikuwa aina aja ya kujibu vbaya ni kuelimishana tu kwa maneno ya hkima lakn kama ndy umeona kujibu ivo ss tunaishi nayoPunguza hasira, umechanganya mambo mpaka haueleweki. Kunywa maji, shusha pumzi, jamba kidogo, halafu andika moja moja. Uzi upo tu huu hauendi mahala kwengine.
Usiwe na kiherehere.
Naona ameenda X kwenye zile accounts za Fake News kwenda kuokota okota majibu.
Ndo huyo anaewapelekea mafuriko waamerika??Kwani wewe Muumba wako nani?Mimi nafahamu Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Soma:
Qur'an 30:33 Na yakiwapata watu matatizo na misukosuko wanamuomba Mola wao, hali ya kumtakasia, Awaondolee mashaka, na Anapowarehemu na Akawaondolea mashaka, punde si punde linatoka pote la watu kati yao wakarudi kwenye ushirikina mara nyingine wakamuabudu mwingine pamoja na Mwenyezi Mungu.
Kutokana na Nadharia ya Multiverses huenda Mungu ikawa zaidi ya mmoja.Kwani wewe Muumba wako nani?Mimi nafahamu Mwenyezi Mungu ni mmoja tu.