Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi dishi limeyumba aiseee! Anahitaji msaadaNa lile tetemeko la Uturuki na ile Boxing Day Tsunami na ile Tsunami ya Japani na lile tetemeko la Iran na ille Typhoon iliyopiga Phillipines hayo yote ni maeneo wanayoishi Wazayuni?!
We Bibie umechanganyikiwa.
Kweni wewe una ushahidi gani kuwa Mungu ni mmoja?!Hilo neno "huenda" limedhihirisha kuwa huna ulijuwalo.
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Sawa ngoja tuone matawi yakianza kunyauka.Huko si ndiko kwenye shina. Hilo ni onyo, nini ambacho huelewi?
Hii kitaalam imekaaje? Yaani muumba anasubiri watu wamwage damu za wenzao ndo aje kulipiza kwa majanga ambayo yanapitia wahusika wahusika na wasiohusika na umwagaji damu badala awalinde wanaomwagwa damu from the beggining dhidi ya wamwaga damu.Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Kila mtu ana macho yake hatuna macho yanayolinganaYanyauke mara ngqpi?
Kwelin mna macho lakini bayaoni, mna masikio lakini hayasikii.
Kondoo.
Ahahahahaha!!!"Nyie" ndiyo kina nani?
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwa cha matajiri wa Kizayuni kwenda kula bata. Hata Netanyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Hayo utajuwa wewe, mimi naongolea ya sasa hivi.Uturuki mwaka jana ilipigwa na tetemeko. Hata irani baada ya shambulio kwenda israel mwez unaofata likatokea tetemeko irani pia. Russia kulitokea mafuriko na afghanistani mafuriko...