FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #101
Utaiona nuru kupitia Muumba wako.Niione nuru kwa makobazi.....hawa tunashinda nao tunawaona mambo yao halafu ndo tuione nuru kupitia hawa makobazi kweli........labda siku nikiamua kuanza kufuga majini nitawafata
Hata huyo unaemwita kobazi, ana muabusu Mwenyezi Myungu mmoja.
Watu wenye kiburi kama wewe walikuwepo wengi sana, wala wewe huwapati kwa kila kitu,m na wameufyata na kutubu. Na wewe tunaamini kuna siku utatubu, au kwa kupenda au kwa kutokupenda.
IIkiwa unachosoma hiuelewei, basi hata pich huoni? Au unafikiroi huu uzi wa nini? Ni wa wale wenye viburi kuliko wewe. si unawaona? Au hujapata fundisho hapo?