Huwa sikisii.Unatuonesha nini sasa kuhusu Mungu? andamaneni basi mseme ameua watoto na kina mama wasio na hatia..
Mjanga yapo tokea enzi za Nuhu. Pia Marekani ni eneo la matukio kama hayo.. so ni kawaida sana kwao kila misimu.. wana reset tu then wana back kuwa the great
Nimekejeli nini sasa? kwani hakijatokea kimbunga? Tena viwili, unazijuwa historia za sehemu vilipotokea na mazayuni?Yaani Faiza unapinga Kim kutolewa madarakani ila umeanzisha uzi kabisa kukejeli watu kufa Marekani na kimbunga?
Nimeshangaa sana
Ni mapepo yamepanda au mimi ndio sielewi?
Sali salamu maria mara 10 najua umevaa rozari shingoniNimekejeli nini sasa? kwani hakijatokea kimbunga? Tena viwili, unazijuwa historia za sehemu vilipotokea na mazayuni?
Hapo ndio issues za Mungu zinapokuwa controversial. Kama Mungu anataka kuwaadhibu wamarekani kwa kuisaidia israel, si apeleke hayo mafuriko Pentagon? Au kwa vile Mungu ni muweza wa vyote, si apeleke hicho kimbunga kikapige wanajeshi wa Israel huko middle east?
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Unahangaika sana we ajuza!Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti kutoka kwa Muumba wetu. Damu za watu hazimwagwi bure.
Hii Florida:
View: https://youtube.com/shorts/7hp_SGD64Vw?si=UuiLKfdQ7xXDNRYl
Florida ni kituo kikubwq cha matajiri wa Kizayuni kwenda ku;la bata. Hata mtoto wa nyau, kakimbia vita yupo huko.
Na hii ni North Carolina:
View: https://youtu.be/OQ2rX1M4CMc?si=9r-ueKAJhFSQFNq7
North Carolina ni kituo kikubwa cha kuunda zana za kivita zinazotumika kuangamiza watu duniani.
Unahangaika sana we ajuza!
Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.
Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
Ndio maana ndugu zetu nyinyi ni rahisi sana kuamini stori za bikira 72 na mito ya maziwa, Pombe na asali