Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwani yeye kashindwa wapi kulipa MKUU au hujaisoma vyema habari!!?Ukionekana huwezi lipa bond sahau investors
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye kashindwa wapi kulipa MKUU au hujaisoma vyema habari!!?Ukionekana huwezi lipa bond sahau investors
Akina yericko nyerere au siyo?Ngoja pro-Russia waje kukupa muongozo ni namna gani Russia alijiandaa na kikwazo hicho na watakiluka kihunzi hicho!
Hivi nini kingetokea Kama US&NATO wangeweka No Fly Zone?Watammalizaje sasa wakati wenyewe hawawezi kuthubutu kusogeza pua zao uwanja wa mapambano! Waliombwa waweke air free zone WAKAGWAYA! Wanaishia kupeleka silaha tu ambazo mara nyingi urusi huziharibu hata kabla hazijatumika!
Kama ndiyo hivyo basi Mozambique ni tajiri kuliko Tanzania maana pesa Yao Ina thamani kuliko TSHKipimo cha kitaalamu hutumia kigezo cha thamani ya pesa ya nchi husika! Maana ndio dira ya uchumi wa nchi. Kabla ya vita dola 1=ruble 82, lakini sasa dola 1=ruble 55!! Haihitaji kwenda shule kujua ni nani anapanda na ni nani anaporomoka!
mikopo ya bongo hawaioni washakata tamaa,ila waulize kuhusu Russia watakushukia abcd zote za kuporomoka kwa uchumi na kijeshi.Mnajadili haya wala hamna habari na mikopo ambayo inachukulia na Bi mkubwa. Zingatieni ushauri wa Adunje Ndugayi.
Mkuu wazoee hao Pro Russia wanachekesha kwlkwl.Kama ndiyo hivyo basi Mozambique ni tajiri kuliko Tanzania maana pesa Yao Ina thamani kuliko TSH
Ignorant people are astounded to see the artificial appreciation of the Russian currency obviously not knowing that in the next one month the currency will begin to plummet again.Siy wote ni wauza nyanya kama wewe!! Ukweli ni kwamba Marekani imechanganyikiwa, na haijui cha kufanya!! Waliweka vikwazo vya kiuchumi wakidhani uchumi wa urusi utaporomoka ghafla kinyume chake uchumi ukawa na nguvu na pesa yake ikawa na nguvu kuliko hata wakati wa kabla ya vita!! Hivi hata kwa akili ya kawaida kuzuia wawekezaji raia bwa marekani wasilipwe pesa zao wanazoidai urusi ni kitu chenye tija au??
Hii Russia ambayo haina ata kiwanda wala barabara ya msaada Tanzania? ndugu ulishawahi kufika Russia ukawaona na kuishi nao?Dunia inajifunza mengi sana kupitia huu mgogoro, miaka michache ijayo Urusi na China wanaweza kuwa mbadala wa vitu vingi sana hapa duniani badala ya Marekani.
Bank of Russia wenyewe washasema pia.Ignorant people are astounded to see the artificial appreciation of the Russian currency obviously not knowing that in the next one month the currency will begin to plummet again.
Russia hamna kitu. Mimi kama Annunaki wa Tz sijawahi kunufaika na chochote kutoka Urusi. Ajabu Warusi wa JF wanavimba kwl kwlHii Russia ambayo haina ata kiwanda wala barabara ya msaada Tanzania? ndugu ulishawahi kufika Russia ukawaona na kuishi nao?