King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 26, 2021 #121 yello masai said: Pole mkuu Click to expand... Pole ya nini boss?
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Apr 26, 2021 #122 KIle kiwanda cha CCM wazazi cha kutengeneza VVU feki naamini kitakufa sasa.
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Apr 27, 2021 #123 King Kong III said: Habari njema hii mambo ya kumeza kila siku dawa inachosha. Click to expand... Pole sana ila usichoke mbona chakula unakula kila siku.
King Kong III said: Habari njema hii mambo ya kumeza kila siku dawa inachosha. Click to expand... Pole sana ila usichoke mbona chakula unakula kila siku.
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Apr 27, 2021 #124 gwankaja said: Na hiyo ikataeni kama mnavyopinga chanjo ya covid 19. Click to expand... Mimi nitakuwa wa kwanza kupongeza huo ukataaji hizo dawa ila tatizo watu wameshazila sana na ndio imekuwa uzima wao wakiwachisha kichwa kichwa unawauwa.
gwankaja said: Na hiyo ikataeni kama mnavyopinga chanjo ya covid 19. Click to expand... Mimi nitakuwa wa kwanza kupongeza huo ukataaji hizo dawa ila tatizo watu wameshazila sana na ndio imekuwa uzima wao wakiwachisha kichwa kichwa unawauwa.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Apr 27, 2021 #125 UHURU JR said: Pole sana ila usichoke mbona chakula unakula kila siku. Click to expand... Asante Mkuu.
UHURU JR said: Pole sana ila usichoke mbona chakula unakula kila siku. Click to expand... Asante Mkuu.