Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

USA huwa haangalii maslahi yake bali ya mataikuni wachache sana ambao wanamiliki makampuni ya mafuta na viwanda vya siraha
 
Tatizo uwezo wako duni. Wewe ndiyo umekuwa brainwashed kama wale ambao huwa wanajilipua wakiamini wanawakomesha wanaowaua kumbe wao nfio wanakuwa wa kwanza kufa, na kuna wakati wanakufa pekee yao bila ya hao waliofaka wafe nao.

Ninachojua kwa uhakika wa 100%, wamarekani au hao wazungu wa Ulaya Magharibi, are not 100% perfect but are a hundrwd time much better than most African, Arab and Asian governments.
 
Yani kwa haya matapishi yasiyokua na kichwa wala miguu unayoyatapika hapa ndio uniambie mimi uwezo wangu mdogo na wewe ndio ujione mjuzi? Ama kweli hata vichaa hutuona sisi timamu ndio vichaa,

Jipe muda wa kufuatilia vitu kabla hujaropoka hapa,au rudi tu Instagram ukaendelee ku like mitindo ya nywele na Madera.
 
Hizo ni hadithi unazosikia toka kwa upande wa Maduro. Lakini watazamaji wa kimataifa, taasisi binafsi za ndani na na nje ya nchi, na yule mgombea wa upinzani, wote wanasema kuwa Maduro ameiba uchaguzi. Ndiyo maana kukatokea maandamano makubwa ya wananchi. Maduro akaamua kutumia polisi kulinda ushindi wake bandia. Akawafunga baadhi ya waandamanji, wengine zaidi ya milioni 1 wakakimbia nchi. Halafu kwa siri anaenda kununua ndege ya kifahari USA.

Venezuela Election:
Late on Monday, street protests were reported across the capital and all around the country.
Riot police clashed with protestors.
The results, which followed an election described by independent observers as the most arbitrary in recent years – even by the standards of the authoritarian regime founded by Maduro’s mentor and predecessor, Hugo Chávez.
After a six-hour delay in releasing the results prompted international concern, the government-controlled electoral authority claimed Maduro had won with 51.21% of votes compared with 44.2% for his rival, the former diplomat Edmundo González Urrutia

Edison Research, which conducts high-profile election polling in many countries, published an exit poll showing González had won 65% of the vote, while Maduro won 31%.
Later on Monday, Venezuela announced the expulsion of all diplomats from Argentina, Chile, Costa Rica, Peru, Panama, the Dominican Republic and Uruguay, and said it would withdraw its own representatives from those countries.
 
An act of War
 
No time to argue with crippled minds.
 
Nicolaus Maduru ameshindwa kuvaa viatu vya mtangulizj wake Hugo Chavez. Ambaye alikuwa na mismamo isiyoyumbishwa na mabeberu. Maduro huu ni uchaguzi wake wa pili unaoiingiza nchi kwenye machafuko.
Baada ya uchaguzi kufanyika wiki chache zilizopita, na tume ya uchaguzi kumtangaza Maduro kama mshindi wa uchaguzi huo wananchi wa Venezuela kwa maelfu wabashinda mabarabarani wakipinga matokeo ya uchaguzi huo.
Kinachoyokea sasa nj marekani kuchochea Vurugu, Maandamano na fujo ili kumtoa Maduro madarakani ambaye ameshaapa kutokabidhi nchi kwa wahuni wanaoungwa mkono na beberu marekani.
 
Marekani hana haki yoyote ya kuweka vikwazo na kukamata mali za watu,acha ujinga
Msio na akili kila wakati mnakimbilia kutukana.

Tatizo uwezo wenu ni duni halafu mnaamini kuwa mna uelewa.

Huwezi kuiambia nchi yoyote ile kuwa eti haina mamlaka ya kuiwekea vikwazo nchi fulani kama kama ina sababu za msingi kufuatana na yale ambayo Taifa linayasimamia. Marekani imeweka vikwazo kwa nchi ya Venezuela kuwa hakuna kampuni, au mtu yeyote katika nchi yake anayeruhusiwa kufanya biashara na Venezuela, wewe unasema, haina mamlaka. Halafu bado unaamini una uelewa!! Kama Marekani ingeiambia Tanzania au Urusi isifanye biashara na Venezuela, hapo ungekuwa na hoja. Japo ina uwezo wa kusema kuwa nchi yoyote itakayofanya biashara na Venezuela, Marekani itaiwekea vikwazo. Maana yake itazuia makampuni ya nchini mwake kufanya biashara na nchi inayofanya biashara na Venezuela. Japo hilo halifanyiki mara nyingi.

Hata Tanzania, kama kuna sababu za msingi, kwa mfano wakati ule Malawi inaleta chokochoko dhidi ya nchi yetu, ingeweza kupitisha maamuzi kuwa tunaiwekea vikwazo Malawi. Maana yake hatununui na wala hatuuzi chochote Malawi. Na wala usingeweza kusema kuwa eti hatuna mamlaka ya kuiwekea vikwazo Malawi. Ukumbuke kuwa kwa nchi yenye mifumo ya utawala shirikishi, maamuzi hayo huwa ni maamuzi yaliyoridhiwa na mihimili ya utawala wa nchi kwa kuzingatia maslahi na tunu za Taifa.
 
I wish to be an American, https://jamii.app/JFUserGuide
 
Lakini tuna mlaumu kicheche(marekani) kwamba ni mgomvi na mbabe.........ila huyu kuku ( ndege ya maduro) alifata nini kwenye masikani ya kicheche (marekani) kwani huko Venezuela ndege hazina pa kwenda mpaka zije kwa kicheche (marekani)???
 
Naona unaitaja Marekani kabda kwa sababu ya nafasi yake katika Dunia.

Nchi za kwanza kulaani uhuni wa uliofanyika kwenye uchaguzi wa Venezuela, haikuwa Marekani, yalikuwa mataifa ya Amerika Kusini: Argentina, Chile, Panama, Costa Rica, Peru, Dominican Republic na Uruguay; na baadhi ya mataifa ya Ulaya yenye uhusiano wa karibu na nchi za Amerika Kusini, kama vile Spain.

Na Maduro kwa hasira, kaamua kuwafukuza mabalozi wote wa nchi hizo, eti kwa sababu walilaani uchaguzi uliomwingiza madarakani ulivyokuwa hovyo.

Kwa bahati mbaya sana, hayo mataifa jirani na Marekani, nchini mwao kukiwa hovyo, Marekani inaathiriwa sana maana ndiyo inayolazimika kubeba wakimbizi na wahamiaji wengi haramu. Na kwa sera zao za kuheshimu utu hawawezi kukwakata wanaokimbia kuokoa maisha yao.
 
Unaongea kama unapumuliwa kisogoni, wewe una uchungu sana na Venezuela kuliko hivi nchi yako ya dunia ya tatu , shit hole county inayokata umeme hadi wiki?
Ujitahidi kupunguza ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…