Marekani yaikamata ndege ya Rais Maduro wa Venezuela

Ni uhuni,kisa mtu kakunyima mafuta yake unaanza fitna na kubaka mali zake,hiyo ndege ilinunuliwa lini,kabla au baada ya vikwazo!?..wakabariki malipo na wala si kwamba hawakujua,wamepora mali na hatch za wafanybiashara wa urusi,pesa za urusi wamepora,abramovic kaporwa chelsea kisa anajuana na putin na alipiga nae picha,huu wote ni uhuni, mamlaka simaanishi idhini ya mihimili yao ya uongozi,un ilipiga marufuku vita iraq, marekani akaanzisha vita iraq vilivyoivuruga dunia baadae

Mtu wao kashindwa uchaguzi venezuela ndiyo wanapora mali
 
Non sence yasn marekani alinde usalama wa wananchi ambao sio wa marekani never,arekani huingiza pua zake kila sehem anapohosi maslahi uake uanapotea. Angalia lobya, iraw, quawait
 
No time to argue with crippled minds.
Next time if you don't know something don't speak,
Make an impact by your knowledge,not by smartness of your words,don't talk until u know what you're talking about.
U're brainwashed by westerners propaganda,u can only see the truth once u experience and see the reality by yourself.
 
Unaona jinsi ulivyo mweupe kichwani? umekimbilia google ukakutana na hizo hizo propaganda za westerners,

Unafikiri Venezuela kusingekua na mafuta angepeleka pua yake huko? nchi ngapi hasa za Africa wapinzani husema wameibiwa kura,alienda kuwatetea wananchi wa hizo nchi masikini?

Ni nchi gani ambayo US ameenda na kuwafanya raia wa nchi husika kua na maisha mazuri zaidi ya kusababisha destruction and looting? Wake up,toka usingizini,umeshikiwa akili na Westeners propaganda na wewe ukaingia mazima.
 
Unalazimisha. Ya kwetu ilivyokamatwa south Africa kwako kule ni kutekwa
Sababu ya kwetu ni ipi na hiyo ya Marekani ni ipi linganisha utapata maana ya kilichofanywa kwa ndege ya raisi wa Venezuela
 
Unaweza ukaona kuwa nina ushabiki wa kijinga wakati wewe una ushabiki wa kidini usio na mantiki yoyote.

Kama unasema dikteta Maduro eti alishinda kwa asilimia sijui 51% ni yaleyale ya ccm nayo kudai kwamba walishinda kwa asilimia 80+ wakati hata uchaguzi wenyewe haukufanyika.

Hizi chaguzi kwa sasa hazina maana kabisa kwa sababu zinasimamiwa na walewale wanaotafuta hayo madaraka ambao mwisho hujitangaza washindi kiuongo kabisa.

Kuna haja kabisa ya kubadilisha mifumo ya uchaguzi ili chama chochote kisitawale kwa muhula usiozidi moja ili kukomesha ving'ang'anizi wa madaraka ambao hupenda kung'ang'ania madarakani wakati hakuna chochote wanachoifanyia nchi.
 
Nakubaliana na wewe kuhusu mambo ya uchaguzi.Kutambua kuwa kilichofanyika ni uhuni kujibu uhuni mwengine umepewa mfano wa jinsi ambavyo Marekani hujifanya kutambua chaguzi nyingi tu zenye mizozo na haijawahi kutia mguu wake kufanya kama hicho walichofanya Venezuala.
Marekani haishughulishwi kiukweli na mizozo ya chaguzi isipokuwa ina yake inayoangalia.Yakionekana kwenda kombo ndio wanafanya kama hivyo.
 
LGBTQ+
 
Dini inahusikaje hapo? Venezuela wao ni dini gani kwani? Bila shaka wewe ndiye una ushabiki wa kidini na ndio maana umewaza hivyo,

Maduro alishinda uchaguzi,US ndio ana create ili ionekane uchaguzi haukua wa haki ili yatokee machafuko coz kuanzia utawala wa Hugo Chavez mpaka Nicolas Maduro wamekataa kua kwenye position ili kuwatumikia US,

Umeiongelea CCM hapo,sasa hao US mbona wapo kimya? mbona hawashupazi shingo kama wanavyoshupaza shingo huko Venezuela? ndio ujue kua US anafanya kila kitu kwa maslahi yake wala sio eti kutetea demokrasia,

Kwani kuna viongozi wangapi hasa Africa wapo madarakana toka kitambo tu ila US yupo kimya? Hapo Rwanda uchaguzi hua haulalamikiwi?

Alidai Iraq wana silaha za WMD akavamia na kuua watu,eti anapeleka demokrasia,hizo Silaha mpaka leo hawakuzipata,mpaka Tony Blair alisema kua We were wrong,

Huko Libya leo hii kuna maisha mazuri? Alivamia Afghanistani akaua watu,leo hii Afghanistan kuna Demokrasia? kuna maisha mazuri? Machafuko ya huko DRC yanatengenezwa makusudi kabisa kwa maslaha ya Westeners,Hakuna mzungu atakayekupa maisha mazuri au kukuletea demokrasia,

Toka usingizini ili ujue Dunia inaendaje,usijadili mambo muhimu ya kidunia kwa ushabiki kama vile unajadili Simba na Yanga.
 
Dah….. kazi ipo
 
Pro usa aisee… mko blinded kabisa

Walichofanya ni uhuni
Nipo zangu Kyela, ninachojua kuhusu USA ni kile ninachoona kwenye TV.

Sina cha u pro wowote. Mtu kaanzisha uzi na kunukuu source ya habari ila alichoandika na kilicho kwenye source ni vitu 2 tofauti. Kwahiyo kurekebisha ndio kumenifanya pro USA?
 
Kama madulo hajakamatwa ni habari ya kheri kwangu maana anawachachafya sana
 
Marekani inaingilia sana mambo ya ndani ya Venezuela kwa tamaa ya mali.Akina Maduro wako kila nchi inayoitwa ya kidemokrasia.
 
Kweli bado tuna kazi katika kuzielewa vizuri lugha za watu. Mleta mada mbona nimesoma article nzima sijaona sehemu waliyosema NDEGE IMETEKWA? Unajua utofauti wa hijack and seizure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…