Baada ya Israel kuishambulia Iran
Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran kutengeneza silaha za nuclear, na kwamba Iran ifanye hivyo kabla haijapoteza kila kitu.
Wakati huo huo, mataifa ya kiarabu, katika kuonesha mshikamano wao na Israel, yameshirikiana na Marekani kuyadungua makombora ya Iran yaliyokuwa yameelekezwa Israel. Katika makombora zaidi ya 100 ya Iran yaliyoelekezwa Israel, ni makombora 7 tu ndiyo yaliyofanikiwa kuingia kwenye anga la Israel, huku mengine yote yakidunguliwa yakiwa kwenye anga za mataifa ya kiarabu, mataifa rafiki wa Israel na Marekani.
NB: Vita hivi vikiendelea, Iran itaumia sana kwani ndege za Israel zinapita kwenye mataifa rafiki ya kiarabu bila shida yoyote, na yanaenda kuangamiza vituo mbalimbali ndani ya Iran, lakini makombora ya kutoka Iran kwenda Israel, yakiingia tu kwenye anga la mataifa ya kiarabu, yanadunguliwa.
Lakini, habari za hivi punde ni kuwa baraza la usalama la Israel, sahizi linafanya kikao cha kuamua namna ya kujibu shambulio la Iran, na kwamba kilicho dhahiri ni kwamba Israel itaishambulia tena Iran. Hii ni kufuatia kitendo cha Iran kuirushia makombora.
Maelezo zaidi soma hapa:
Trump warns Iran: President Donald Trump told CNN that the US “of course” supports Israel in its actions. Trump warned Iran earlier today to agree to a nuclear deal “before there is nothing left.”
The expectation is that Israel will escalate further in its next wave of attacks against Iran.

Israeli cabinet discussing responses to Iranian missile attack, official tells CNN
The Israeli cabinet is currently meeting to discuss responses to Iran’s missile attack on Israel on Friday night, an Israeli official has told CNN.The expectation is that Israel will escalate further in its next wave of attacks against Iran.