Lakini si unaona makobazi ya njombe na Manyara yanavyo hangaika humuMi nikadhani Iran kwasababu huwa ndiye anawafadhili HAMAS, Hezbollah, Al Shabab, Al Qaeda, ISIS na wengine nikajua akiguswa tu baasi, wataungana.
Nnashangaa hata HAMAS, HOUTHI, na Hezbollah hawajarusha hata kishada kuelekea Israel, wakati mfadhili wao anapigwa.