Nikutumie bando na ya kutolea uangalie hio clip hapo chini?ni makombora 7 tu ndiyo yaliyofanikiwa kuingia kwenye anga la Israel,
Hahaha,Marekani Yaipa Onyo Iran. Mataifa ya Kiarabu Yaungana na Marekani Kudungua Makombora ya Iran
Ila kuna mtu yupo mburahati na kijiwe samli anasapoti iran!!Yani Kumbe WAARABU nao hawaipendi Iran kiasi kuisaidia Israel?
Mi nilidhani dini ingewaunganisha kumbe sivyo ndivyo.
Si huwa wanaletewa mizoga ya Ngamia kwenye sikukuu watafanyaje wasipo-muheshimu anayewalisha?Ila kuna mtu yupo mburahati na kijiwe samli anasapoti iran!!
Si warabu ni vibaraka walio tawala hizo nchi wananchi wa kiarabu wapo na Iran.Yani Kumbe WAARABU nao hawaipendi Iran kiasi kuisaidia Israel?
Mi nilidhani dini ingewaunganisha kumbe sivyo ndivyo.
Iraq nao wamekataa kuhusishwa na hiyo vita lakini cha kushangaza wako katikati, hawamzuii Israel ila hawataki Iran atumie anga lao hahaha.Si warabu ni vibaraka walio tawala hizo nchi wananchi wa kiarabu wapo na Iran.
Tatizo ma Puppet kama Jordan unategemea nini mtu anatawala nchi hata kiarabu hajui hahahaha
Yaani hakuna watu wanafiki kama Waarab, hawa watu hawanaga umoja hata iweje, ni wapuuzi mno na ndiyo maana wazungu wanawachezea akili tu kila kukicha kwa sababu hawajitambui.Baada ya Israel kuishambulia Iran
Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran kutengeneza silaha za nuclear, na kwamba Iran ifanye hivyo kabla haijapoteza kila kitu.
Wakati huo huo, mataifa ya kiarabu, katika kuonesha mshikamano wao na Israel, yameshirikiana na Marekani kuyadungua makombora ya Iran yaliyokuwa yameelekezwa Israel. Katika makombora zaidi ya 100 ya Iran yaliyoelekezwa Israel, ni makombora 7 tu ndiyo yaliyofanikiwa kuingia kwenye anga la Israel, huku mengine yote yakidunguliwa yakiwa kwenye anga za mataifa ya kiarabu, mataifa rafiki wa Israel na Marekani.
NB: Vita hivi vikiendelea, Iran itaumia sana kwani ndege za Israel zinapita kwenye mataifa rafiki ya kiarabu bila shida yoyote, na yanaenda kuangamiza vituo mbalimbali ndani ya Iran, lakini makombora ya kutoka Iran kwenda Israel, yakiingia tu kwenye anga la mataifa ya kiarabu, yanadunguliwa.
Lakini, habari za hivi punde ni kuwa baraza la usalama la Israel, sahizi linafanya kikao cha kuamua namna ya kujibu shambulio la Iran, na kwamba kilicho dhahiri ni kwamba Israel itaishambulia tena Iran. Hii ni kufuatia kitendo cha Iran kuirushia makombora.
Maelezo zaidi soma hapa:
Trump warns Iran: President Donald Trump told CNN that the US “of course” supports Israel in its actions. Trump warned Iran earlier today to agree to a nuclear deal “before there is nothing left.”
Israeli cabinet discussing responses to Iranian missile attack, official tells CNN
The Israeli cabinet is currently meeting to discuss responses to Iran’s missile attack on Israel on Friday night, an Israeli official has told CNN.
The expectation is that Israel will escalate further in its next wave of attacks against Iran.
Ni kweli kabisa, waliwai kupewa hizo fireworks huko Europe New Year moja wakaanza kudunguana nazo wenyewe kwa wenyewe huku wanasema allahu akibaru.Missile za Iran ni fireworks za Ramadhan.
Nchi za waarabu wanatengeneza nini dunian mpaka iwe tishio?Yaani hakuna watu wanafiki kama Waarab, hawa watu hawanaga umoja hata iweje, ni wapuuzi mno na ndiyo maana wazungu wanawachezea akili tu kila kukicha kwa sababu hawajitambui.
Now you knowYani Kumbe WAARABU nao hawaipendi Iran kiasi kuisaidia Israel?
Mi nilidhani dini ingewaunganisha kumbe sivyo ndivyo.
I am not sure if I do know yet.Now you know
Kobazi wa kilosa na Manyoni tu NDO wanalia humu kumtetea Iran lakn hakuna nchi ya kiarabu wenye dini yao kabsa anayehangaika na IranYani Kumbe WAARABU nao hawaipendi Iran kiasi kuisaidia Israel?
Mi nilidhani dini ingewaunganisha kumbe sivyo ndivyo.
Mi nikadhani Iran kwasababu huwa ndiye anawafadhili HAMAS, Hezbollah, Al Shabab, Al Qaeda, ISIS na wengine nikajua akiguswa tu baasi, wataungana.Kobazi wa kilosa na Manyoni tu NDO wanalia humu kumtetea Iran lakn hakuna nchi ya kiarabu wenye dini yao kabsa anayehangaika na Iran