Lakini si unaona makobazi ya njombe na Manyara yanavyo hangaika humuMi nikadhani Iran kwasababu huwa ndiye anawafadhili HAMAS, Hezbollah, Al Shabab, Al Qaeda, ISIS na wengine nikajua akiguswa tu baasi, wataungana.
Nnashangaa hata HAMAS, HOUTHI, na Hezbollah hawajarusha hata kishada kuelekea Israel, wakati mfadhili wao anapigwa.
Nitasikiliza mawaidha ya sheikh mkuu na masheikh wa lile baraza la ulamaa kujua upi ni msimamo kati ya Bakwata na Balkuta.Lakini si unaona makobazi ya njombe na Manyara yanavyo hangaika humu
Hahaha! MakubwaaaaNitasikiliza mawaidha ya sheikh mkuu na masheikh wa lile baraza la ulamaa kujua upi ni msimamo kati ya Bakwata na Balkuta.
Hawana lolote zaidi ya mafuta, watoto na familia za watu walio karibu na familia ya Kifalme wanakwenda kujirusha Ulaya na Marekani huku wakinywa pombe na kuvuta bangi pamoja na madawa ya kulevya, wakirudi kwao wanajifanya waswahliina....hawa watu wanafiki mno, ni kuwaangalia tu na kucheka jinsi wanavyochezewa akili. Halafu huku Tanzania utakuta mtu zezeta tu anajifanya mwarabna kuona sifa kujifananisha nao.Nchi za waarabu wanatengeneza nini dunian mpaka iwe tishio?
Iran anasaidiwa na kafiri mkuu Putin
Nani asiyejua kama hao ni vibaraka wa USA tangu muda?Ila kuna mtu yupo mburahati na kijiwe samli anasapoti iran!!
Kumbuka Israel hafadhili ugaidi popote duniani,Pia hapiganii kueneza dini yake ya kiyaudi.Kobazi wa kilosa na Manyoni tu NDO wanalia humu kumtetea Iran lakn hakuna nchi ya kiarabu wenye dini yao kabsa anayehangaika na Iran