Marekani yaipa Ukraine risasi milioni moja walizonyang'anya Iran

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi.

==============

Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December.

The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies that production cannot keep up with the rate at which the Ukrainian Armed Forces are burning through ammunition.

Iran's Islamic Revolutionary Guard Corp is believed to have been using the MARWAN 1, which was seized on 9 December, to transport ammunition to the Tehran-backed Houthis in Yemen.

In total, 1.1 million 7.62mm calibre bullets from the seizure have been handed over to Kyiv's forces.

www.express.co.uk
 
Mrusi akitumia drone za Iran mnasema hazina mpango sasa hizo risasi mnasemaje wa Ukrain au karanga za diamond platinum hizo😂

Mrusi anatumia kuivamia nchi ya watu, ila Ukraine anapewa atumie kumfukuza mvamizi aliyeivamia nchi yake, elewa tofauti hapo hii ni logic simple kwa ilmu ya dunia.
 
Mrusi akitumia drone za Iran mnasema hazina mpango sasa hizo risasi mnasemaje wa Ukrain au karanga za diamond platinum hizo😂
Ukraine ana haki ya kutumia chochote kuilinda nchi yake na kizazi chake dhidi ya jambazi!

By the way, huoni hizo ammunitions kwenda Ukraine ni manufaa makubwa badala ya kwenda kwa magaidi?
 
Pathetic.

Ila mrusi akipokea sihala kutoka kwa maswahiba wake mnapiga kelele kama malaya aliyezulumiwa pesa yake.
Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi.......

Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December.

The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies that production cannot keep up with the rate at which the Ukrainian Armed Forces are burning through ammunition.

Iran's Islamic Revolutionary Guard Corp is believed to have been using the MARWAN 1, which was seized on 9 December, to transport ammunition to the Tehran-backed Houthis in Yemen.

In total, 1.1 million 7.62mm calibre bullets from the seizure have been handed over to Kyiv's forces.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Pathetic.

Ila mrusi akipokea sihala kutoka kwa maswahiba wake mnapiga kelele kama malaya aliyezulumiwa pesa yake.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app

Supapawa si kajifanya jeuri ya kuvamia nchi ya watu, hivyo hafai kuomba misaada, anachopaswa ni kugeuza arudi kwake, acheni kutumia ubongo kimalaya malaya.....
 
Mrusi akitumia drone za Iran mnasema hazina mpango sasa hizo risasi mnasemaje wa Ukrain au karanga za diamond platinum hizo😂
Huko ndio kukaangwa kwa mafuta yako, US ni mnyama sana silaha za Iran zinaenda kumtibu shoga yake Putin, na US wametumia na mahela kibao ambayo ni ya Urusi wakazitaifisha na kuzipeleka Ukraine kuwasaidia wahanga wa vita

Putini ni mtu asiye na akili sasa mali za babu jinga hivyo ndivyo zinavyofanywa
 
Hizi risasi zitasaidia pakubwa kwenye mapambano dhidi ya mvamizi Urusi.

==============

Ukraine has been given the opportunity to replenish military supplies with confiscated ammunition from Iran thanks to a US operation last December.

The move comes amid warnings from Ukraine's Western allies that production cannot keep up with the rate at which the Ukrainian Armed Forces are burning through ammunition.

Iran's Islamic Revolutionary Guard Corp is believed to have been using the MARWAN 1, which was seized on 9 December, to transport ammunition to the Tehran-backed Houthis in Yemen.

In total, 1.1 million 7.62mm calibre bullets from the seizure have been handed over to Kyiv's forces.

www.express.co.uk
Mali ya babu jinga hivyo ndivyo zinavyoliwa, hapo utakuta Iran ana uchungu kibao lakini atazaa kabisa silaha zake ndio zinaenda kumtengeneza swahiba yake, nimeziona mimi kwa macho yangu kwenye televisheni mmeli mkubwa umesheheni masilaha ya Irani yanapelekwa Ukraine
 
Wahuni wamemchungulia Mrusi wamegundua ana mikwara mingi tu mara afanye mazoezi ya pamoja na India haya vita hiyo hapo pigana sasa nimemsikia Jana Putin akisema Ukraine wasipopata msaada wa West wiki moja tuu vita anaimaliza ukiona anatoa to sababu ujue hakuna kitu hapo baadae ataacha na vita yenyewe...
 
Mrusi akitumia drone za Iran mnasema hazina mpango sasa hizo risasi mnasemaje wa Ukrain au karanga za diamond platinum hizo[emoji23]
kwamba kuku anakuzid akili kujuwa Ukraine anapigana ndan ya Ardhi yake kutetea uhuru wake , ila Urusi anachukua silaha kwenda kutumia kwenye nchi ya mtu mwingine , hili pia unahitaj ufundishwe shulen?
 
Pathetic.

Ila mrusi akipokea sihala kutoka kwa maswahiba wake mnapiga kelele kama malaya aliyezulumiwa pesa yake.

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
jitambue , kupokea sio kesi , kesi ni anazitumia wap ? je kenya akiomba silaha uganda kuja kupiga Tz , hiyo ni sawa ? mmerogwa?
 
Back
Top Bottom