Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

Russia wamemjibu Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mkurugenzi wa WFP kwamba wakitaka bandari zifunguliwe wapate chakula,

Wajitafakari kwanza Suala vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa Russia tangu mwanZo wa operation hii,

Ni nin wao walifanya Kama viongozi wa mihimili mikuu ya uongozi ndani ya umoja wa mataifa

Source: reuters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... inaonesha Ukraine ni nchi muhimu sana kwa maisha ya binadamu duniani; hadi Tanzania tumeathirika na upungufu mkubwa ngano kutoka Ukraine. Dikteta siku zake zinahesabika; hawezi kuichezea dunia kwa kiwango hiki!
Kiufupi,
Ugomvi wa hawa jamaa wawili Ni hatari Sana kwenye USALAMA wa msosi dunia nzima, hasa ulaya wanaowategemea Sana hawa kwa ASILIMIA kubwa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo ujue kipigo kimemwingia Barabara 😄😄😄
 
... inaonesha Ukraine ni nchi muhimu sana kwa maisha ya binadamu duniani; hadi Tanzania tumeathirika na upungufu mkubwa ngano kutoka Ukraine. Dikteta siku zake zinahesabika; hawezi kuichezea dunia kwa kiwango hiki!
Kwenye ngano:
-ukraine anachangia 11.5% kwenye soko la dunia
-russia anachagia 16.8% kwenye soko la dunia.
Kiujumla Hawa wawili TU, wanachangia zaidi ya 28% ya ngano yote duniani.

Ukija kwenye mahindi,
-ukraine tu anachangia 17% ya mahindi yote kwenye soko la dunia.

Chanzo: DW-ujerumani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapigo anayopiga Putin,ni yale mapigo yasiyoruhusiwa michezoni ila vitani tu.Yaani mapigo yakumlaza kaburini adui.Putin piga hizo mbwa koko mpaka zirudiwe na akili.
Adui yako mwombee njaaa,ndo mana mwezi august au September Putin anataka kuongea na Afrika kama sikosei kumbe alishaliona hili la njaaa kitaambo.
Nahisi Africa ataivusha na janga hili.
Maswali ni meengi kama mchanga,hivi NATO hawakuliona hili mapema?
 
... very interesting! Hadi mahindi Ukraine ambayo kieneo ni ndogo inaipiku Tanzania? Sijui tunakosea wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…