Marekani yaiwekea vikwazo Hezbullah

Marekani yaiwekea vikwazo Hezbullah

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
7,681
Reaction score
9,892
Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel.

US kisha changan'yikiwa kipigo anacho tembezewa Israel na Hezbullah.
---
WASHINGTON, Oct 16 (Reuters) - The United States imposed sanctions on Tuesday on what it described as a Lebanon-based sanctions evasion network that funnels millions of dollars to Hezbollah.

The action targeted three individuals linked to Hezbollah's finance arm and four Lebanon-based companies registered to conceal ties to the militant group, according to a Treasury Department statement.

The U.S. also sanctioned three individuals involved in the production and sale of the amphetamine known as captagon, who it said have funded the regime of Syrian President Bashar al-Assad and its allies, including Hezbollah."Today's action underscores (Hezbollah's) destabilizing influence within Lebanon and on the wider region, as the group, its affiliates, and its supporters continue to finance their operations through covert involvement in commercial trade and the illicit trafficking of captagon,” Bradley T. Smith, acting undersecretary of Treasury for terrorism and financial intelligence, said in the statement.

Source: Reuters
 
Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha US hata UN aipige Hezbullah sunction kipigo kinaendelea huko Israel.

US kisha changan'yikiwa kipigo anacho tembezewa Israel na Hezbullah
Unacheka kipumbavu lakini. Kukosa japo uelewa mdogo achana na elimu ni janga kubwa.
 
Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Mbona hatuoni huko Russia wakifanya kwa sili, maana hata orban kawachana hao west kwa unafiki wao kwa kumuwekea vikwazo urusi halafu hapohapo nchi zao zikifanya biashara na Urusi kuliko hata kabla ya vita na Ukrain?.
 
Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Swali toka lini Hezbullah walikuwa na bussiness na US, swali la pili ukisha muita mtu gaidi afu umuingize kwenye sunction ina mana wewe ndio baba wa magaidi 😄

Hivi huoni US kama zimefyatuko? Ana kiri kumbe alikuwa na biashara na Hezbullah kwa njia moja au ingine, vipi umpige sunction kama hana biashara na wewe.
 
Mbona hatuoni huko Russia wakifanya kwa sili, maana hata orban kawachana hao west kwa unafiki wao kwa kumuwekea vikwazo urusi halafu hapohapo nchi zao zikifanya biashara na Urusi kuliko hata kabla ya vita na Ukrain?.
Uliza benk za china kama zinatoa mkopo kwa Russia
 
Ukiwekewa vikwazo na Marekani, maana yake washirika wako inabidi wafanye biashara na wewe kwa siri, otherwise nao watawekewa vikwazo.
Urusi kawekewa vikwazo lakini anafanya biashara za wazi na mataifa mengi, Iran kawekewa vikwazo anafanya biashara na mataifa mengi tu, Marekani kabakia maneo mataifa mengi sasa hivi yanaondoa dola kwenye biashara zao za ndani.
 
Kwanza shukrani zangu ziende kwa moderator aliye fanya kanzi nzuri sana hapa.

Nikirudi kwenye mada Israel alikuwa anapewa sifa za bandia oh anaweza kujilinda bila kusaidiwa oh Mungu wa Ibrahim Ishaq na Yakobo ndio analilinda taifa teule 😄 Yani mataifa mengine yote Mungu hayalindi, sa sisi tunawajibu Mungu wa Ibrahim, Ismaili, Ishaq na Yakobo ndio anatulinda sisi sote isipokuwa Israel naona analindwa na THAAD ya USA 😄
 
Nani kakuambia hawatoi pili wakitoa lazima wawambie tumempa Mrusi mkopo. Germany wanafanya biashara na mrusi iwe China. Si wana deal kwa njia ya pili sio direct.
Kwa namna hiyo hiyo lazima maumivu yawepo

Biadhara yoyote isiyo wazi inamaumivu kwa mtumiaji boss
 
Urusi kawekewa vikwazo lakini anafanya biashara za wazi na mataifa mengi, Iran kawekewa vikwazo anafanya biashara na mataifa mengi tu, Marekani kabakia maneo mataifa mengi sasa hivi yanaondoa dola kwenye biashara zao za ndani.
Cha ajabu pia US anafanya biashara na Mrusi eti kamwekea sunction 😄
 
Back
Top Bottom