Marekani yakosoa na kutilia mashaka mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu 2020 Tanzania

Marekani yakosoa na kutilia mashaka mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu 2020 Tanzania

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.

Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza) lipo hapa chini.


20201029_190408.jpg

20201029_190124.jpg


 
Zitto na Tundu Lissu ndio muda muafaka wa kuongeza "PRESSURE" zaidi kwa watawala wetu katika kipindi hichi mataifa yote duniani yanapotoa matamko kama haya. Itisheni maandamano ya amani kila pembe ya nchi. Ili watawala wazidi kujikanyaga na kuharibu zaidi.

USA ndio ameshaongea leo sasa, kila siku zinavyokwenda mbele mmoja mmoja ataongea EU/AU/UN. Sasa either Serikali ya CCM ikubali au ikatae, halafu ione cha moto.

Watanzania tumeshapewa ruhusa na mmarekani ya kuandamana kwa amani kupiga huu "WIZI" na "KULAWITIWA KWA DEMOKRASIA".

Serikali ya CCM ikikaidi, kinachofuata ni kuwekewa vikwazo;

1) Marufuku Tanzania kuuziwa "MAFUTA (Petrol, Diesel) - Hapa zile LAND CRUISER VX ZA KIJANI na BOMBADIER lazima zipakiwe mpaka zijae kutu. Dar - Mwanza tutaenda kwa punda.

2) Marufuku Tanzania kupokea msaada wowote.

3) Marufuku kununua bidhaa yoyote tokea Tanzania.

4) Marufuku watalii kwenda Tanzania. - Hapa, nchi yetu inategemea utalii kwa zaidi ya asilimia 70% kupata fedha za kigeni.

5) Hati Za Kukamatwa viongozi wa CCM na vyombo vya usalama.

6) Kufukuzwa Mabalozi wa tanzania katika nchi nyingi.

MWISHO: Kung'olewa kwa NCHA YA UPANGA kwa Jiwe.

#Ni muda Jeshi liingilie kati na kuipindua CCM (Ya mtu mmoja), kisha kuamrisha mabadiliko ya katiba ya nchi. kwa maslahi mapana ya taifa letu. Nchi itachukua miaka 100 kurudi kama ilivyokua 2014.
 
Ukisikia kula Kuku mpaka na manyoya yake ni hii sasa ya Tanzania ya Magufuli, ninasubiria Matokeo ya hichi kilicho fanyika katika Uchaguzi huu.
 
Watanzania tushaamua, wiki ijayo D.trump anamtandika sleepy Biden fasta tu, ...


Mr. Ambassador of US of A this is for you, fresh from your country, ...



"We're in a situation where we have put together – and you guys did it for our admi ... the president, Obama's administration before this – we have put together, I think, the most extensive and inclusive voter fraud organization in the history of American politics," Biden says in a video that began circulating on social media on Saturday.
 
US Embassy ishasema uchaguzi ulikuwa wa amani nchi nzima..

Imeisha hiyooooo...!!! Irregularities ni kawaida ktk uchaguzi wowote ule, no perfection ktk uchaguzi, Hongera sana my CCM, Hongera sana Mh. JPM and Happy Birthday to you..!! Kuchapa kazi tu sasa, na maendeleo makubwa sana yanakuja najua watanzania watashangaa miaka 5 ijayo, mtashangaa kwa maendeleo nasema, sbb Mh. JPM akisema always anatenda, ndio tofauti yake na viongozi wengi duniani. Mungu akubariki sana Mh. Rais wetu.
 
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka...
NAONA NCHI NYINGINE YA ZIMBABWE INAZALIWA BARANI AFRICA
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Imeisha hiyo!
Yani hii nchi haitatawalika tena bila kupitia mgogoro mbaya ambao haujawahi kushuhudiwa.

Naungana na Marekani kwa mikono miwili kikamilifu!
Uhuru wa kuandamana lazima tupate ili sisi kama wananchi tuweze kubadili mambo mengi ya kipumbavu yanayoendelea kufanywa na serikali pamoja na taasisi zake.

Kama tupo pamoja like hapa wajue ipo nguvu mbadala ya umma kwa ajili ya kuwasimamia hawa wajinga!
 
Stupid, watanzania was kuwazuia mawakala halafu unasema umeshinda

Amerika inawaka huko Philadelphia sasa hivi tunavyoongea, wao hapa Bongo wako obsessed na Tanzania yetu, inaelkekea Ubalozi wa USA unakimbia kivuli chao wenyewe, USA inawaka moto, ...
 
Soma mada wewe mpuuzi ili uelewe kilichozungumzwa.

Unaita wenzako wapuuzi kumbe wewe ni fedhuli na ni mpuuzi kupindukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuliwaambia dada, kwamba, uwingi wa kufungua nyuzi na kulitawala jukwaa la Jf na Mitandao Kwa ujumla sio kigezo cha kushinda ama kuimarika Kwa Chama

Leo nadhani mmejifunza sasa dada,
 
Immediate intervention is highly needed siyo propaganda. Please do something needful.
 
Back
Top Bottom