Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atangaze tu si ndio ushindi wa CDM huu, ila amepewa middle finger na watanzania next time atakuwa makini kabla ya kuingilia chaguzi za Tz.Kwa tamko hili Marekani anaweza tangaza vikwazo kwa tanzania au baadhi ya watanzania kwa siku sijazo
Hawa ni wapuuzi na wajinga kabisaWatanzania tushaamua, wiki ijayo D.trump anamtandika sleepy Biden fasta tu, ...
Ngoma imeisha hii, hata hao USA wameshakaa kibra , hizi ni press release za kuwaondolea aibu tu hamna kikubwa watakachofanya zaidi ya mgogoro wa kama mwaka mmoja then maisha yataendelea, 2015 pia walibweka kwa inshu ya zenji ila hadi 2017 maisha yakaendelea kama kawaida.
Hao mabeberu ndio wafadhili wenu kwenye miradi, nyie jichekesheni tu kama midoli.Afadhali,ni vema pia balozi wa E.U nae atoe tamko ili kuwafariji makamanda.maana mpaka sasa wabasubiri matamko yawafariji.
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.
Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza) lipo hapa chini.
Mtanyooka tu kama mnategemea mabeberu ndiyo wawape ushindi!
!
Maaninaaah..... Jumuia Ya Kimataifa Fanyeni Kitu Jamani. Kibinyo Tu Cha Maana Kwa Wa Husika Kitatosha. Anzeni Na Jeipiem
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.
Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza) lipo hapa chini.
What can he do? Nothing, Tanzania is a sovereign Country.Immediate intervention is highly needed siyo propaganda. Please do something needful.
Who cares, USA iangalie mambo yake, hawawezi kuwa wanatangatanga nchi za wengine wakati yakwao hawayawezi.Kwa tamko hili Marekani anaweza tangaza vikwazo kwa tanzania au baadhi ya watanzania kwa siku sijazo