🤣🤣🤣🤣🤣Niliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki ya kati. Mnaona sasa.
Watakufa kama utakavyokufa wewe,ila gaza ndio ishaenda hivyo,kawasaidie kobazi wenzio kufunga vilago vyao muelekee iran.Mwisho wa yote si netanyahu wala Trump atakuwepo miaka 20;ijayo. Huo ndo ukuu wa Mungu wote tunakufa hata utese binadamu wenzio kwa kiwango gani hutaishi milele uone ubaya wako.
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Oya Unayumba Jombi
Ndio ilivo ktk Dunia JE nani alijua ili kuna mambo yanagundulika Baadae kama Sasa Dunia imeelewaWarudi kwao uarabuni wslikotoka waiache ardhi ya Kiyahudi. Sasa hivi hadanganyiki mtu kama wale walioota ndoto eti bwana Yale aliyeoa katoto ka miaka 9 alipaa kwa lidude aliloliita buraq lenye sura ya kike eti alipitia kwenye dome ambayo ni sunagogi la WAYAHUDI na Sasa wanaita eti el aksa. Lazima waachie hekalu hilo walilolipa jina la uongo
Je! wakipigiwa kelele wanazisikiliza? la hasha, Je wanao wapigia kelele wanaweza kuwawajibisha?! la hasha, basi tungojee muda utasema na macho yataona na masikio yatasikia maajabu haya.Wakiamua kufanya hivyo wataweza, isipokuwa watapaswa wavumilie Sana juu ya kelele nyingi Sana na lawana watakazotupiwa kutoka katika pande zote kabisa za dunia hii.
Itawalazimu kutia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao!
Kuchola mcholo mbona sio Jambo kubwa ni sawa tu na kuota usiku m'moja tu kuwa Palestina imeamishiwa uko Jordan na Misri sasa futa tongotongo tuje kwenye Vitendo kufanikisha uwo Mpango jua ni OOOOOOOOO
Mimi kobazi kweli ila sijawahi shabikia ujinga wa makobazi wala ujinga wa wàgalatia.Watakufa kama utakavyokufa wewe,ila gaza ndio ishaenda hivyo,kawasaidie kobazi wenzio kufunga vilago vyao muelekee iran.
The problem is, wenzetu wanaendelezaga ya watangulizi wao, 🇺🇸 na Israel 🇮🇱 zimebadiri viongozi wao mara ngapi? Sera za nchi zao zimebadirika? Ni kweli hao watakua wamekufa but sera, mipango walio nayo hawa itadumu hata miaka 50 ijayo. Tofauti sana na ngozi nyeusi, hatunaga dira ya nchi zetu, tunajiendea tu; labda Watutsi wa Rwanda, kamsome askofu Christopher Mtikila, alisema kuhusu mipango ya Watutsi kutanua ardhi hata kwa vita, Bahima empire, tayari Congo wameimega. Walianza katikati ya miaka ya 90, miaka 30 baadae wamefanikiwa, sie tupo busy na dini, uchawa, Yanga na Simba etc. So in a nut shell, wenzetu wanaacha maandishi na wanao kuja wanatrmbelea humoMwisho wa yote si netanyahu wala Trump atakuwepo miaka 20;ijayo. Huo ndo ukuu wa Mungu wote tunakufa hata utese binadamu wenzio kwa kiwango gani hutaishi milele uone ubaya wako.
Mnaangaika sana na chuki zenu dhidi ya Uislamu na waislamu, fanyeni binuka hamwenzi hata kutikisa Dini ya haki mtakufa mutaicha tu.#HABARI Rais wa Marekani Donlad Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo kupingwa vikali duniani.
Trump amewaambia wanahabari kuwa huenda akaruhusu mataifa ya kiarabu kuhusika katika kukarabati upya sehemu mbalimbali na kuwa atahakikisha raia wa Palestina wataishi maisha mazuri.
Mamlaka ya Palestina na kikundi kilicho na silaha cha Hamas ambao wamekuwa vitani kwa miezi 16 na Israel na kusababisha maafa Gaza, wamemjibu wakisema ardhi ya Palestina sio ya kuuzwa''.
Lakini waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameipigia upatu pendekezo hilo la Trump akilitaja ni ''mwamko mpya na bunifu''.
Haya yanajiri wiki tatu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza kuanza, Huku Hamas ikiachilia huru baadhi ya mateka wa Israel inayowazuia ili kubadilishana na Wafungwa wa Palestina walioko katika magereza ya Israel.
Wanajeshi wa Israel walianzisha kampeni ya kuvamia na kuharibu Gaza wakijibu shambulizi la kushtukizia la mwezi Oktoba tarehe 7 2023, ambapo watu 1,200 waliuawa na 251 wakatekwa nyara.
Zaidi ya watu 48,180 wameuliwa Gaza tangu mapigano hayo yaanze , hii ni kwa mujibu wa wizara ya afya inayosimamiwa na Hamas. #EastAfricaTV