Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

Niliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki ya kati. Mnaona sasa.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwisho wa yote si netanyahu wala Trump atakuwepo miaka 20;ijayo. Huo ndo ukuu wa Mungu wote tunakufa hata utese binadamu wenzio kwa kiwango gani hutaishi milele uone ubaya wako.
Watakufa kama utakavyokufa wewe,ila gaza ndio ishaenda hivyo,kawasaidie kobazi wenzio kufunga vilago vyao muelekee iran.
 
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?

View: https://x.com/THEREALJEW613/status/1886981794274177411
 
Warudi kwao uarabuni wslikotoka waiache ardhi ya Kiyahudi. Sasa hivi hadanganyiki mtu kama wale walioota ndoto eti bwana Yale aliyeoa katoto ka miaka 9 alipaa kwa lidude aliloliita buraq lenye sura ya kike eti alipitia kwenye dome ambayo ni sunagogi la WAYAHUDI na Sasa wanaita eti el aksa. Lazima waachie hekalu hilo walilolipa jina la uongo
Ndio ilivo ktk Dunia JE nani alijua ili kuna mambo yanagundulika Baadae kama Sasa Dunia imeelewa
kumbe Msingi na uwepo KANISA ulikuwa kutumia Jina la Yesu na Picha Bandia kwenye Project ya kuufanya Ulimwengu mzima Uwe na Mashoga Wengi iwezekanavo

il ikuzuiya Binadam Wasizaliane leo hii ktk Dunia yetu Viongozi Wakubwa wa Makanisa mbalimbali Duniani Baada ya kujulikana njama yao
leo
tunatabasamu kukiwa na mikesi mingi Mahakamani Viongozi wa MAKANISA Wameburutwa kwa kuwalawiti Watoto wakiume kuanzia miaka 3+

Mbaya zaid kichefuchefu Zaid Viongozi awa Wamakanisa Wametumia MAKANISA ayo ayo tunayoita NYUMBA YA MUNGU!!!!!

kuwalawiti Watoto awa Wadogo tena wa kiume kwa lengo la kufanyia Project ya kuzalisha Mashoga kupitia Vituo vyakulelea Watoto!!!! Inasikitisha!! Zaid kujua wengi wa watoto awa ni Yatima!!!!
 
Wakiamua kufanya hivyo wataweza, isipokuwa watapaswa wavumilie Sana juu ya kelele nyingi Sana na lawana watakazotupiwa kutoka katika pande zote kabisa za dunia hii.
Itawalazimu kutia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao!
Je! wakipigiwa kelele wanazisikiliza? la hasha, Je wanao wapigia kelele wanaweza kuwawajibisha?! la hasha, basi tungojee muda utasema na macho yataona na masikio yatasikia maajabu haya.
 
Kuchola mcholo mbona sio Jambo kubwa ni sawa tu na kuota usiku m'moja tu kuwa Palestina imeamishiwa uko Jordan na Misri sasa futa tongotongo tuje kwenye Vitendo kufanikisha uwo Mpango jua ni OOOOOOOOO

anachofanya mlokole Tramp ni kuwafuta Uzuni mizwazwa ya kilokole baada ya kushindwa Majeshi yao kufikia Lengo la Vita!!
Na ukija upande Pinzani Wapalestina na Dunia imetabasamu kwa Ushindi huu unao akisi Ukubwa wa MUNGU wawapenda Aman duniani

kwaiyo Tramp kawapa neno la kuwafuraisha tu lkn awezi kulitekeleza Gaza ni ya watu wa GAZA!!! Na Vita Wamepoteza na kushindwa!!
 
Aliye sema heri nusu Shari kuliko Shari kamili hakukosea,mambo yote haya yametokana na tukio la 7/10/2024,Hama's wangetumia njia nyingine kudai haki zao zaidi ya kumwaga damu na kuteka haya yote yasingetokea.

Pamoja na kwamba kuna kujifariji kuwa Hama's ndio wameshinda vita lakini kihalisia wao ndio wamepoteza zaidi,na wakiendelea hivyo wataendelea kupoteza zaidi.

Hata wale waliokuwa wanawasapoti kwa njia moja au nyingine sasa hivi hawasikiki,Iran,Hezbollah,Yemen wote wako kimya,na haijajulikana kama wamewapuuza au wameona kuwa kitu wanachokipigania hakina faida kwao,au pengine moto wanaopelekewa na Nyau umewazidi kimo?.
 
Watakufa kama utakavyokufa wewe,ila gaza ndio ishaenda hivyo,kawasaidie kobazi wenzio kufunga vilago vyao muelekee iran.
Mimi kobazi kweli ila sijawahi shabikia ujinga wa makobazi wala ujinga wa wàgalatia.
 
Kwa mimi muslim hii ishatabiriwa,waisrael wote watakaa sehem moja..Na ndio dalili ya Qiama,Trump tuwaishe asee.
 
Black people tuna matatizo sana, sijui kama huaga kichwani tumekamilika sawa sawa, tuna uchungu kweli na mashariki ya kati, either uwe upande wa Israeli or Palestinians lakini same sisi hawa hatujui chochote kwamba west Africa yaani Misri, Tunisia, Morocco, Libya ilikua ni ardhi ya weusi wenzetu, waliuliwa na wengine kuhamishwa kwa lazima na sasa ni nchi za Waarabu, yanayo endelea Somalia na Sudan ni issue ya muda tu but plan ndio hiyo hiyo, wajukuu zetu watakuja kustuka kukuta pale napo Wamatumbi hawapo, ngozi ya brown itakua mwenyeji wa hizo nchi, hatusikiti, hatuhuniki but tunawasikitikia Wapalestina, watu ambao hata vitabu vya dini yao vinaonesha mwenye ardhi yake pale ni nani. Same sisi, akija Mwarabu au Mzungu kuchukua chochote kwetu tunaona ni sawa, bora mzawa anyang'anywe apewe Mwarabu, case study ni issue ya bandari ya Dar, DPW na TICKS ya bwana Karamagi, Karamagi ni Mtanzania, Mhaya wa Bukoba halafu muislamu, lakini misikiti ilisema No to Karamagi and yes to DPW, sijui ni laana au la?
 
Mwisho wa yote si netanyahu wala Trump atakuwepo miaka 20;ijayo. Huo ndo ukuu wa Mungu wote tunakufa hata utese binadamu wenzio kwa kiwango gani hutaishi milele uone ubaya wako.
The problem is, wenzetu wanaendelezaga ya watangulizi wao, 🇺🇸 na Israel 🇮🇱 zimebadiri viongozi wao mara ngapi? Sera za nchi zao zimebadirika? Ni kweli hao watakua wamekufa but sera, mipango walio nayo hawa itadumu hata miaka 50 ijayo. Tofauti sana na ngozi nyeusi, hatunaga dira ya nchi zetu, tunajiendea tu; labda Watutsi wa Rwanda, kamsome askofu Christopher Mtikila, alisema kuhusu mipango ya Watutsi kutanua ardhi hata kwa vita, Bahima empire, tayari Congo wameimega. Walianza katikati ya miaka ya 90, miaka 30 baadae wamefanikiwa, sie tupo busy na dini, uchawa, Yanga na Simba etc. So in a nut shell, wenzetu wanaacha maandishi na wanao kuja wanatrmbelea humo
 
Russia alivyoichukua Crimea ya Ukraine tulipiga kelele mkawa mnasema aachwe

Wakati Israel anachukua milima ya Golan Syria tuliwaambia hiyo sio Tabia nzuri ila hamkusikia.

M23 (Rwanda) alivyoichukua Goma mlisema aachwe.

Sasa imekuwa kama Tabia Kila nchi inataka kuchukua maeneo ya nchi zingine.

Hapo Gaza ndio imeenda Sioni nchi yoyote ya kuizuia Marekani.
 
Waislamu mlionesha kwa vitendo vyenu jinsi mlivyo October 7 2023 imefika nanyi muoneneshwe majibu kwa vitendo.. kelele endeleeni kupiga ni ruksa..hii hali inaendelea hadi muombe msamaha.. la sivyo dawa ya jeuri ni kusudi
 
1739001682257.jpeg

New Gaza Israel
 
#HABARI Rais wa Marekani Donlad Trump ametangaza kuwa Marekani imedhamiria kununua na kumiliki Ukanda wa Gaza na kuhamisha Wapalestina milioni mbili wanaoishi huko, licha ya pendekezo hilo kupingwa vikali duniani.

Trump amewaambia wanahabari kuwa huenda akaruhusu mataifa ya kiarabu kuhusika katika kukarabati upya sehemu mbalimbali na kuwa atahakikisha raia wa Palestina wataishi maisha mazuri.

Mamlaka ya Palestina na kikundi kilicho na silaha cha Hamas ambao wamekuwa vitani kwa miezi 16 na Israel na kusababisha maafa Gaza, wamemjibu wakisema ardhi ya Palestina sio ya kuuzwa''.

Lakini waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameipigia upatu pendekezo hilo la Trump akilitaja ni ''mwamko mpya na bunifu''.

Haya yanajiri wiki tatu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza kuanza, Huku Hamas ikiachilia huru baadhi ya mateka wa Israel inayowazuia ili kubadilishana na Wafungwa wa Palestina walioko katika magereza ya Israel.

Wanajeshi wa Israel walianzisha kampeni ya kuvamia na kuharibu Gaza wakijibu shambulizi la kushtukizia la mwezi Oktoba tarehe 7 2023, ambapo watu 1,200 waliuawa na 251 wakatekwa nyara.

Zaidi ya watu 48,180 wameuliwa Gaza tangu mapigano hayo yaanze , hii ni kwa mujibu wa wizara ya afya inayosimamiwa na Hamas. #EastAfricaTV
 
Attachments

  • Screenshot_20250211-111258.jpg
    Screenshot_20250211-111258.jpg
    165.6 KB · Views: 3

Mnaangaika sana na chuki zenu dhidi ya Uislamu na waislamu, fanyeni binuka hamwenzi hata kutikisa Dini ya haki mtakufa mutaicha tu.
 
Back
Top Bottom