Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Warudi kwao uarabuni wslikotoka waiache ardhi ya Kiyahudi. Sasa hivi hadanganyiki mtu kama wale walioota ndoto eti bwana Yale aliyeoa katoto ka miaka 9 alipaa kwa lidude aliloliita buraq lenye sura ya kike eti alipitia kwenye dome ambayo ni sunagogi la WAYAHUDI na Sasa wanaita eti el aksa. Lazima waachie hekalu hilo walilolipa jina la uongo
 
Na sasa ni Gaza.

Wavaa kobazi wa Kibaigwa walishangilia sana Trump aliposhinda. 😁
 
Warudi kwao uarabuni wslikotoka waiache ardhi ya Kiyahudi. Sasa hivi hadanganyiki mtu kama wale walioota ndoto eti bwana Yale aliyeoa katoto ka miaka 9 alipaa kwa lidude aliloliita buraq lenye sura ya kike eti alipitia kwenye dome ambayo ni sunagogi la WAYAHUDI na Sasa wanaita eti el aksa. Lazima waachie hekalu hilo walilolipa jina la uongo
Mambo ya Ngoswe namwachia Ngoswe mwenyewe mwanangu. Du!
 
Wakiamua kufanya hivyo wataweza, isipokuwa watapaswa wavumilie Sana juu ya kelele nyingi Sana na lawana watakazotupiwa kutoka katika pande zote kabisa za dunia hii.
Itawalazimu kutia pamba masikioni na kuvaa miwani ya mbao!
Hoja hii ikipata uungwaji mkono na wamarekani wenyewe itawezekana
 
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.

Je ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya? Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu? Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Eti Ugonjwa wake wa Akili Unaweza kufumuka wakati wowote Kobazi Bwanaaa
 
Hivi pale mashariki ya kati israeli utumika kama chambo!?,, kwanini inabebwa kama yai vile,kunani paleeh!!
 
Warudi kwao uarabuni wslikotoka waiache ardhi ya Kiyahudi. Sasa hivi hadanganyiki mtu kama wale walioota ndoto eti bwana Yale aliyeoa katoto ka miaka 9 alipaa kwa lidude aliloliita buraq lenye sura ya kike eti alipitia kwenye dome ambayo ni sunagogi la WAYAHUDI na Sasa wanaita eti el aksa. Lazima waachie hekalu hilo walilolipa jina la uongo
Cc

Nyau de adriz
 
Niliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki ya kati. Mnaona sasa.
Lakini Hataweza
 
Kaka uliona zile video lakini???
Video za Oct 7.
Ingawa Trump ni chizi ila kwa zile video.
Never Again is Now
We fala zile video za oct 7 ndo yalikua maisha ya kila siku ya wapalestina wakifanyiwa na waisrael, hawajawahi kuishi kwa amani waisrael kila mwaka walikua wakiua wapalestina 500+, pale ni kama unavyosikia majimaji war ni struggle for freedom
 
Trump mbuli kumlomo hilo silioni likienda kufanyika,,, hata kama Israel ni last born wao lkn hili la kuigeuza gaza kuwa Israel halitatokea
 
Habari kutoka White House umezisikia ?
Hakuna kitu kama hicho bali mzee kakurupuka tu
 
Trump & Musk ni wabaguzi wa kiwango cha juu, mtaelewa tu
 
Kumbuka ni kaburu. And once a Boer always a Boer. Boers are like feral boas that we must destroy and see to it that they are extinct. Trump too is a stinking racist. They are all Germanic creatures renowned for racism.
 
Back
Top Bottom