mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni waoga!! Wako tayari kupiga (mahali ambapo wana uhakika watapiga), lakini hawako tayari kupigana!! Marekani haiwezi kuipiga China bali watapigana na mshindi ni dakika tisini si kabla ya hapo.
Taiwan asipokuwa makini atavimbishwa kichwa na kuingizwa mkenge na mwisho wa siku watafanywa soko la kuuzia silaha za marekani kama ilivyo UKraine leo baada ya kuingizwa mkenge na Marekani. Ukraine iliahidiwa kuingizwa NATO fasta kwa hiyo URUSI HAITOTHUBUTU kuishambulia!! Matokeo yake kweli ukraine akaingiwa na kiburi kwa ahadi ya uongo na leo hii Ukraine inaachwa mahame!!
Lengo la marekani ni kuanzisha ugomvi ili iuze silaha!! Leo hii Ukraine wanakopeshwa dola bilioni 49, waje wazilipe na riba juu!! Halafu Marekani "inachekea tumboni" (ili isikukwaze) kwa kupata soko la silaha zake! Ninawahurumia Taiwan kama watavimba kichwa na kuendelea kuchezea shurubu za mchina!! Hawatajua mchina atavumilia hadi lini kiburi hiki cha Taiwan!! Siku ya siku kitanuka na Marekani hatasogeza pua yake zaidi ya kukuuzia silaha!
=======
US President Joe Biden indicated on Monday that Washington is willing to use military force to defend Taiwan if necessary. Speaking at a joint press conference with Japanese Prime Minister Fumio Kishida in Tokyo, he said the US sees the idea of China “going in” with its troops as unacceptable.
When asked if the US would become directly involved in a conflict between China and Taiwan, including through the use of military force, Biden said “Yes,” adding that “it’s a commitment we made.” The US leader has previously said Washington respects the ‘One China’ policy, by which it recognizes that there is only one China led by Beijing.
Biden, however, maintained that China has no “jurisdiction to go in and use force to take over Taiwan.” The idea that the island nation “can be taken by force is just not appropriate. It will dislocate the whole region,” the US president added.
Marekani pia wanaishawishi MOLDOVA ikubali kupoke silaha za marekani ili eti kuilinda na tishio la urusi!! Watu wajiulize mbona nchi za magharibi zimepeleka silaha nyingi sana Ukraine toka 2014 hadi sasa lakini Ukraine imeshindwa kuzuia uvamizi wa Urusi wa kujitakia yenyewe.Tunapozungumza sasa, jimbo lote la Kherson linakaliwa na urusi, na asilimia 95% ya jimbo la DONBAS lisahakaliwa!! Msaada wa silaha zinazoangamizwa kila siku hauwasaidii kitu laki watalazimika kulipa maana si msaada wa bure bali ni mkopo!!
Chonde chonde Taiwan usikubali kuingizwa mkenge na Marekani!!!
Taiwan asipokuwa makini atavimbishwa kichwa na kuingizwa mkenge na mwisho wa siku watafanywa soko la kuuzia silaha za marekani kama ilivyo UKraine leo baada ya kuingizwa mkenge na Marekani. Ukraine iliahidiwa kuingizwa NATO fasta kwa hiyo URUSI HAITOTHUBUTU kuishambulia!! Matokeo yake kweli ukraine akaingiwa na kiburi kwa ahadi ya uongo na leo hii Ukraine inaachwa mahame!!
Lengo la marekani ni kuanzisha ugomvi ili iuze silaha!! Leo hii Ukraine wanakopeshwa dola bilioni 49, waje wazilipe na riba juu!! Halafu Marekani "inachekea tumboni" (ili isikukwaze) kwa kupata soko la silaha zake! Ninawahurumia Taiwan kama watavimba kichwa na kuendelea kuchezea shurubu za mchina!! Hawatajua mchina atavumilia hadi lini kiburi hiki cha Taiwan!! Siku ya siku kitanuka na Marekani hatasogeza pua yake zaidi ya kukuuzia silaha!
=======
US ready to use force to defend Taiwan
President Joe Biden said Washington could be directly involved in conflict should China try to take the island by forceUS President Joe Biden indicated on Monday that Washington is willing to use military force to defend Taiwan if necessary. Speaking at a joint press conference with Japanese Prime Minister Fumio Kishida in Tokyo, he said the US sees the idea of China “going in” with its troops as unacceptable.