Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

Na Somali sio miaka ya 70 ni juzi tu hapa kipindi anatawala fareed haideed alikimbia na film wametengeza miaka hyo alikimbia vita vietnam hana mahara vita alishinda zaidi ya kuanzisha na kukimbia
Asante sana kwa kunisaidia kuweka taarifa sawa!!
 
Acheni mizaha, acheni maneno ya vijiweni, acheni uzwzwa. Nchi yenye GDP 25trillion USD unaomba kuingia nayo vitani. Jamani nani asiyejuwa ubora wa tech ya Marekani. Au mnafanya makusudi? KWELI mnakaa na kubishana juu ya uwezo wa USA. Kwa akili ya kawaida haiwezekani kumpiga Marekani labda itokee nguvu ya Mungu tu na siyo vitech vya china, Russia na mataifa mengine. Wachina wapo hapo Kwa sababu ya USA ndiyo maana tech Yao ni ya kuiga, yaani copy and paste
Usisahau, upande wa pili wa shilingi: Marekani ina deni la zaidi ya trilioni 30 USD!! Uchumi wao zaidi ni wa kuuza silaha na teknologia kitu ambacho si cha lazima kwa maisha ya kila siku!! Urusi ni tajiri wa maliasili yenye matumizi ya lazima kwa maisha ya kila siku!! Kiuhalisia ni dola ina thamani kwa mabavu tu lakini si kiuhalisia!! Wimbi la sasa la nchi kutaka kufanya biashara kwa kutumia pesa zao za ndani badala ya dola NI ANGUKO KWA MAREKANI KIUCHUMI LINALOTARAJIWA!!
 
Du ulisoma shule Gani. Hujui hata geography ya Dunia. Miongoni mwa nchi kubwa na zenye rasilimali nyingi ni Russia, USA, China, Canada, Australia, Brazil, India. Ukubwa wa nchi unawabeba kuwa na rasilimali nyingi.
 
China tayari imejibu mapigo tishio la Marekani la kuipigania taiwan kijeshi kama itashambuliwa na China.

China hits back at US over Taiwan​

Beijing says it has “no room for compromise” on sovereignty and territorial integrity
China hits back at US over Taiwan

FILE PHOTO: Chinese Foreign Ministry's spokesman:
Beijing warned on Monday it would take all necessary measures to defend its territorial integrity, and urged Washington not to “underestimate” the resolve of the Chinese people.
The rebuke came hours after US President Joe Biden vowed to use military force to defend Taiwan if necessary. China considers Taiwan an inalienable part if its territory.

Kusema ukweli Marekani na wachokozi sana!! Mtu anatoka maelfu ya kilomita kwenda kufanya ugomvi china!!
 
USA ina rasilimali nyingi lakini haina uwezo wa kuziuza nje maana inazihitaji yenyewe!! Kwa mfano: Marekani ina akiba kubwa ya ya mafuta ardhini kuliko urusi, lakini japo ni mengi lakini haiuzi bali inanunua pia toka nje maana hayatoshelezi!! Urusi inauza mafuta sana tu maana haiwezi kuyatumia yote!! Bila shaka unanielewa!!
 
Acheni mizaha, acheni maneno ya vijiweni, acheni uzwzwa. Nchi yenye GDP 25trillion USD unaomba kuingia nayo vitani. Jamani nani asiyejuwa ubora wa tech ya Marekani. Au mnafanya makusudi? KWELI mnakaa na kubishana juu ya uwezo wa USA. Kwa akili ya kawaida haiwezekani kumpiga Marekani labda itokee nguvu ya Mungu tu na siyo vitech vya china, Russia na mataifa mengine. Wachina wapo hapo Kwa sababu ya USA ndiyo maana tech Yao ni ya kuiga, yaani copy and paste
Wkt anapigwa na Vietnam hebu tuwekee comparison ya GDP ya USA vs Vietnam.
 
marekani ni waoga,wanapenda kuviziavizia tu ,hawana lolote.vita ya Vietnam tu iliwashinda wakakimbia.ni waoga Kama waoga wengine.

mwanzo walisema hivyohivyo watailinda Ukraine ,na wataingilia Kati kijeshi endapo Russia ataivamia Ukraine!! Russia kaingiza mzigo Ukraine ,mbona wameufyata ,zaidi wanaitumia NATO,wao wako mita Mia moja kule!! waoga tu hawana lolote.
 
Acheni mizaha, acheni maneno ya vijiweni, acheni uzwzwa. Nchi yenye GDP 25trillion USD unaomba kuingia nayo vitani. Jamani nani asiyejuwa ubora wa tech ya Marekani. Au mnafanya makusudi? KWELI mnakaa na kubishana juu ya uwezo wa USA. Kwa akili ya kawaida haiwezekani kumpiga Marekani labda itokee nguvu ya Mungu tu na siyo vitech vya china, Russia na mataifa mengine. Wachina wapo hapo Kwa sababu ya USA ndiyo maana tech Yao ni ya kuiga, yaani copy and paste
Sasa anashindwa nini kuikomboa Ukraine?? Kama ndivyo hivyo mbona alikimbia syria? Na kama ana nguvu za bivyo kwanini anakusanya manchi kibao kumlinda yeye
 
USA ina rasilimali nyingi lakini haina uwezo wa kuziuza nje maana inazihitaji yenyewe!! Kwa mfano: Marekani ina akiba kubwa ya ya mafuta ardhini kuliko urusi, lakini japo ni mengi lakini haiuzi bali inanunua pia toka nje maana hayatoshelezi!! Urusi inauza mafuta sana tu maana haiwezi kuyatumia yote!! Bila shaka unanielewa!!
Now you have the point. Kumbe USA ana add value Kwenye rasilimali zake ndiyo maana ni ngumu mno kumfananisha na Russia. Kwenye uchumi kinachomata ni add value na sio kuuza resources. Taifa linalotegemea natural resources haliwezi kusonga mbele. Ndiyo Russia pamoja na kuwa na resources nyingi, the don't add value. Wapo kama third world countries. Mimi nilitegemea Russia akimbizane na china, Japan, USA, Germany kiuchumi, lakini wapi wameachwa mbali. Kwa hiyo kama USA ana resources nyingi na anazitumia mwenyewe, hiyo ni credit kubwa. Mungu alitupa hizi resources tuzigeuze kuwa finished product lakini kuuza resources uuuuuh. Ndicho kinachotuangusha Africa pia hicho
 
Sass rasilimali unayo ibadili kua pesa na unayo iuza tu ipi bora. Nyie ma pro putin mna vituko. Watu wana viwanda vya kila kitu utashindana nae. Marekani hadaiwi kama unavo fikiri hizo bonds
 
USA ina rasilimali nyingi lakini haina uwezo wa kuziuza nje maana inazihitaji yenyewe!! Kwa mfano: Marekani ina akiba kubwa ya ya mafuta ardhini kuliko urusi, lakini japo ni mengi lakini haiuzi bali inanunua pia toka nje maana hayatoshelezi!! Urusi inauza mafuta sana tu maana haiwezi kuyatumia yote!! Bila shaka unanielewa!!
Sass rasilimali unayo ibadili kua pesa na unayo iuza tu ipi bora. Nyie ma pro putin mna vituko. Watu wana viwanda vya kila kitu utashindana nae. Marekani hadaiwi kama unavo fikiri hizo bonds
 
Acheni mizaha, acheni maneno ya vijiweni, acheni uzwzwa. Nchi yenye GDP 25trillion USD unaomba kuingia nayo vitani. Jamani nani asiyejuwa ubora wa tech ya Marekani. Au mnafanya makusudi? KWELI mnakaa na kubishana juu ya uwezo wa USA. Kwa akili ya kawaida haiwezekani kumpiga Marekani labda itokee nguvu ya Mungu tu na siyo vitech vya china, Russia na mataifa mengine. Wachina wapo hapo Kwa sababu ya USA ndiyo maana tech Yao ni ya kuiga, yaani copy and paste
Sidhani kama kuna tech ya maana inayotoka nje ya US, zinaweza zikawa chache. Sidhani kama unaweza ukaweka product ya china kisha ukaringanisha na ya US kisha ya china ikapita, haiwezekani. Jamaa wako mbali mno.
 
Hiyo kauli SIO Mara ya kwanza Marekani kuitoa.
Taiwan anavimba sababu ya Marekani bila hivyo China ingekuwa imevamia zamani.
Na china anajua nguvu ya US alowekeza hapo taiwan, China anachoogopa ni uchumi wake tu. Ukimwambia aingia kwenye hilo bifu anajua kabisa anaweka uchumi wake kwenye risk.
 
China tayari imejibu mapigo tishio la Marekani la kuipigania taiwan kijeshi kama itashambuliwa na China.

China hits back at US over Taiwan​

Beijing says it has “no room for compromise” on sovereignty and territorial integrity
China hits back at US over Taiwan

FILE PHOTO: Chinese Foreign Ministry's spokesman:
Beijing warned on Monday it would take all necessary measures to defend its territorial integrity, and urged Washington not to “underestimate” the resolve of the Chinese people.
The rebuke came hours after US President Joe Biden vowed to use military force to defend Taiwan if necessary. China considers Taiwan an inalienable part if its territory.

Kusema ukweli Marekani na wachokozi sana!! Mtu anatoka maelfu ya kilomita kwenda kufanya ugomvi china!!
Punguza mahaba, China hawezi kujirisk kwenda kupambana na Taiwan.
 
Now you have the point. Kumbe USA ana add value Kwenye rasilimali zake ndiyo maana ni ngumu mno kumfananisha na Russia. Kwenye uchumi kinachomata ni add value na sio kuuza resources. Taifa linalotegemea natural resources haliwezi kusonga mbele. Ndiyo Russia pamoja na kuwa na resources nyingi, the don't add value. Wapo kama third world countries. Mimi nilitegemea Russia akimbizane na china, Japan, USA, Germany kiuchumi, lakini wapi wameachwa mbali. Kwa hiyo kama USA ana resources nyingi na anazitumia mwenyewe, hiyo ni credit kubwa. Mungu alitupa hizi resources tuzigeuze kuwa finished product lakini kuuza resources uuuuuh. Ndicho kinachotuangusha Africa pia hicho
Yaani resources zooote alizonazo Russia, ni aibu kupitwa na Japan, South Korea n.k ni aibu.
 
Sass rasilimali unayo ibadili kua pesa na unayo iuza tu ipi bora. Nyie ma pro putin mna vituko. Watu wana viwanda vya kila kitu utashindana nae. Marekani hadaiwi kama unavo fikiri hizo bonds
Kuuza kitu ili uendeshe maisha yako ni utumwa, leo hii ulaya ikiachana na Gas ya mrusi ni lazima urusi atikisike kiuchumi. Tunaongea kiushabiki tu ila US na nchi za ulaya ni dhambi kubwa mno kuifananisha na Urusi. Urusi kwa sasa ni kama Tanzania chini ya CCM.
 
Back
Top Bottom