Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

Taiwan nayo sio mbe kwa technologia, china ajaribu tu
 
ushashiba ugali wako na ngadu...unakuja kuongea upupu....wenyewe wamesema wataipigania taiwani wewe uko zako ruvu unabisha aiseee😂
 
Kama ni vitisho mwambie China alianzishe..

Taiwan sio Ukr,kule kuna Makombora ya masafa marefu,ndege vita za kisasa na nyambizi za kuzidi.
 
Na Leo hii,wameshindwa kumlinda Zelensky,walichotaka kumsaidia TU ni kutaka kumtorosha aende akaishi uhamishoni.
Zelensky akakataa.
Hii ni baada ya Urusi kuingiza jeshi.
 
Kwa hiki ulichokiandika Pro USA watasema TU wewe ni ProRussia
 
Unaelewa nini wewe...kaa chini ule ugali wako n mlenda ukalale maneno meeengi kama mwanamke wa kizaramo kafumaniwa
 
Umepaniki sana tena Sana kama Marekani size yake ni Somalia mwisho hapo kwa Russia tunahesabu saa moja tu kabla ya vita kuisha labda mmarekani apigane na China
Kumbuka Ukraine Russia huyohuyo anatolewa mavi kila siku analilia Russia usa asimsaidie Ukraine na usa anamsaidia Ukraine waziwazi kama Russia kidume arushe hata jiwe kwenye makambi ya jeshi ambayo yamemzunguka pande zote na masaa 5 yaliopita usa ameruhusu mzigo wa long range upelekwe Ukraine [emoji1255]....huyo ndo usa wengine vitobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…