FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Wewe jamaa ni Syria na Iraq sio ndani ya IranJeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.
nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Jamaa mjuaji sana huyo.
Dah... Umeandika nn hapaHehehe Mkuu
Kuwa Upande wa Saddam Miaka Tajwa Hapo Ya 90s Sio Ishu Wala nn
Ishu Nikwamba Hata Afrika Mashariki Ilikua naufahamu Wakwamba Jamaa Nisuala Lamuda 2 kama ilivyotokea kwa LIBYA Unategemea Nn Inapotokea Unagombna Na Rafiki Yako Ambae Alikua Anakupa Pesa Yakula Alikua Anakupa Madili Yakupata Pesa Alokua Anakutambulisha Kwawatu Ili Upate Pesa Na Ikiwezekana Hata Mke Ulonae Jamaa Alikufanzia Mipango Yeye !?..
IRAQ Alokua Anauziwa Silaha Karibu Asilimua 90s% Kutoka Kwahao Hao Watu Walomgeuka Ulitegemea Yakwamba Atashinda Hio Vita Ulikua Unakosea Sana MkuuNakama Ulikua Unawaza Kama IRAN Anauwezo Wakumpiga US Pia Unakosea Sana Ila Kama Itatokea Vita Ikapiganwa Baina Ya IRAN na US Amini Yakwamba Itakua Vitakubwa Kuwahi Kupiganwa Na US Toka Baada Ya Vita Ya Dunia Maana Ujue Kabsa Hio Vita Itapiganwa Mashariki Yakati Nzima Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Mpaka Nje Yamipaka Yake Mpaka Ndani Yamipaka Ya IRAN Nakama IRAN Atapigana Na US Hata Kama Vita Itadumu Kwa Masaa 24 Tu Nakumalizika Iwe IRAN Kapigwa Na Hatamaniki Basi Ujue US Atahamisha Majeshi Yake Yote Mashariki Yakati Maana Mashariki Yakati Ndio Itakua Haidhibitiki Tena
Mwisho Kabisa Hakuna Vita Itapiganwa Ndani Ya IRAN Sababu Hata IRAN Hawez Ishambulua IRAN Ndani Yamipaka Yake Jambo Ambalo Litakua Ni Direct Provocation Kwa US Dhidi Ya IRAN...
US Wanaweza Wakawaua Wairan Popote Walipo Hatahapo Nchini Kwako Nsipo Pajua Ila US Hawez Kushubutu Kurusha Hata Jiwe Ndani Ya Mipaka Ya IRAN
Haya Yote Sababu US Kaona Vikwazo Dhidi Ya IRAN Havina Natija Kwahio Sasa Anahangaika Tuu [emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Updates!
The Pentagon has started to move US troops and assets to the middle east secretly,and all US citizens also ordered to leave Iraq imediately!
Labda shambulizi la kujitoa muhangaBrother!Ukinionyesha kwamba hiyo strike imefanyika Iran kupitia chombo rasmi nabadilisha jinsia yangu kwanzia leo,ila na wewe ukishindwa ufanye vivyo hivyo.
Mkuu hapo umeongopa mkuu. Gen Qasim sio equivalent to JCS wa marekani. Gen Qasim ni kamanda wa Quds Force, kikosi cha Iran kinachohusika na Ops mbalimbali za Siri na wazi za nje ya mipaka yao. Hata rank ya chief of staff yaweza kuwa alikuwa hajafika mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi air attack ya kushtukizaKwahiyo generar wa kiwango cha juu namna hiyo anatembeaje bila ya ulinzi kutoka nchi aliyo itembelea?
Dah 😛 😛 😛 Nimeangalia post yake alafu nikaona mtu kamuunga mkono ikabidi nipite pembeni kwa kuhisi ni mimi mwenyewe sijamuelewa,Yote kwa yote 👏
Nb:Kuuliwa Kwa Soleiman Imenistua Sana Ila Jibu Linakuja Sema Sio Kwa Ss wala Soon Ila Laja...Nyie jamaa mnachekesha sana. Unawezaje kulinganisha drone na komandoo generali bobezi na la kutegemewa na nchi kama Qassem?
Wa kawaida???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Walipo2nguliwa drone yao walishindwaje kudhibitisha
US wakawaida Mnooo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Anaeweza Kumpiga IRAN...Iran asipokua makini atapigika sana ....asijidanganye kuwa anaweza kuzichapa na marekani.
Mpaka apigwe kwanza ndo utaelewa wapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angekuwa mjanja angevaa japo mabaibui then apande bajaji kuwapotezea maadui. Bahati mbaya ndio hivyo tena.
Possibility ya israel kutoa info ni 100pc. Trump yeye akruhusu mabomu tu
Sent using Jamii Forums mobile app