Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Hili tukio kwa kiasi kikubwa limezima yale matukio mengine ya mashambulizi ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na Iran kwa namna moja ama nyingine.

Ni pigo kubwa kwa Iran na hawana budi kujitafakari upya.

Wamagharibi wana msemo wao; Revenge is a Dish Best Served Cold!
 
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.

nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Wewe jamaa ni Syria na Iraq sio ndani ya Iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe Mkuu
Kuwa Upande wa Saddam Miaka Tajwa Hapo Ya 90s Sio Ishu Wala nn

Ishu Nikwamba Hata Afrika Mashariki Ilikua naufahamu Wakwamba Jamaa Nisuala Lamuda 2 kama ilivyotokea kwa LIBYA Unategemea Nn Inapotokea Unagombna Na Rafiki Yako Ambae Alikua Anakupa Pesa Yakula Alikua Anakupa Madili Yakupata Pesa Alokua Anakutambulisha Kwawatu Ili Upate Pesa Na Ikiwezekana Hata Mke Ulonae Jamaa Alikufanzia Mipango Yeye !?..
IRAQ Alokua Anauziwa Silaha Karibu Asilimua 90s% Kutoka Kwahao Hao Watu Walomgeuka Ulitegemea Yakwamba Atashinda Hio Vita Ulikua Unakosea Sana MkuuNakama Ulikua Unawaza Kama IRAN Anauwezo Wakumpiga US Pia Unakosea Sana Ila Kama Itatokea Vita Ikapiganwa Baina Ya IRAN na US Amini Yakwamba Itakua Vitakubwa Kuwahi Kupiganwa Na US Toka Baada Ya Vita Ya Dunia Maana Ujue Kabsa Hio Vita Itapiganwa Mashariki Yakati Nzima Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Mpaka Nje Yamipaka Yake Mpaka Ndani Yamipaka Ya IRAN Nakama IRAN Atapigana Na US Hata Kama Vita Itadumu Kwa Masaa 24 Tu Nakumalizika Iwe IRAN Kapigwa Na Hatamaniki Basi Ujue US Atahamisha Majeshi Yake Yote Mashariki Yakati Maana Mashariki Yakati Ndio Itakua Haidhibitiki Tena


Mwisho Kabisa Hakuna Vita Itapiganwa Ndani Ya IRAN Sababu Hata IRAN Hawez Ishambulua IRAN Ndani Yamipaka Yake Jambo Ambalo Litakua Ni Direct Provocation Kwa US Dhidi Ya IRAN...

US Wanaweza Wakawaua Wairan Popote Walipo Hatahapo Nchini Kwako Nsipo Pajua Ila US Hawez Kushubutu Kurusha Hata Jiwe Ndani Ya Mipaka Ya IRAN

Haya Yote Sababu US Kaona Vikwazo Dhidi Ya IRAN Havina Natija Kwahio Sasa Anahangaika Tuu [emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... Umeandika nn hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo umeongopa mkuu. Gen Qasim sio equivalent to JCS wa marekani. Gen Qasim ni kamanda wa Quds Force, kikosi cha Iran kinachohusika na Ops mbalimbali za Siri na wazi za nje ya mipaka yao. Hata rank ya chief of staff yaweza kuwa alikuwa hajafika mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
  • Qassem Soleimani killed in US drone strike on Baghdad airport late Thursday
  • Quds general was seen as second-most powerful man in Iran and future leader
  • He fought against Iraq during invasion of Iran in 1980, became commander of a division before he was 30, and promoted to Quds commander in 2002
  • Soleimani helped Shia militias kill hundreds of US troops with IEDs, backed Assad as he slaughtered civilians, and oversaw killing of protesters in Iraq
Source-Daily mail oneline magazine Uk.
 
Nakisia General kauliwa alikuwa kaenda chooni kutoa kubwa...
 
IRAN Anapata Wapi Haki Yakuingia Vitani Wakati Soleiman Kauliwa Nje Ya Mipaka Ya IRAN Ila US Alikuwa Kapata Kila Kigezo Maana Ndege Yake Ilitunguliwa Ndani Yamipaka Ya IRAN
Nyie jamaa mnachekesha sana. Unawezaje kulinganisha drone na komandoo generali bobezi na la kutegemewa na nchi kama Qassem?
Nb:Kuuliwa Kwa Soleiman Imenistua Sana Ila Jibu Linakuja Sema Sio Kwa Ss wala Soon Ila Laja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JITAARISHENI KIPIGO CHAJA
Screenshot_20200103_111404.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom