simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Tatizo hudeal na Iran pekeee amejitengenezea proxy wake Kama 10 zaidi kumzunguka na kuwazunguka maadaui zake ni rahisi kwenda kumpiga mtu Kama Gaddafi ambaye alikuwa Yuko Libya tu Ila kwa Iran inabidi kwanza upigane naye ndani ya Iraq ,Syria,b Lebanon na sehemu nyingine kadhaa hutawezakuconcentrate sehemu moja so itakuwa big war cost ya uchumi itakuwa kubwa halafu kule Kuna China anataka kuwa big Super power na kuwa boss was uchumi wa dunia hapo hapo hutaki kuiachia hiyo nafasi ni ngumu Sana na hata ukitaka Allies wakusaidie inabidi wapate sababu za kufanya hivyo Saddam alisingiziwa wmd huyu hana Cha kusingiziwa jcpoa wamezingua wao yaani wamemessup kweli kweli ndio maana Obama hakuwa mjinga kufanya nuclear dealHivi kuna mtu Mwenye akili Timamu anayedhani Mission za Iran zitafanikiwa?
Atakuwa Mwendawazimu
Tatizo hudeal na Iran pekeee amejitengenezea proxy wake Kama 10 zaidi kumzunguka na kuwazunguka maadaui zake ni rahisi kwenda kumpiga mtu Kama Gaddafi ambaye alikuwa Yuko Libya tu Ila kwa Iran inabidi kwanza upigane naye ndani ya Iraq ,Syria,b Lebanon na sehemu nyingine kadhaa hutawezakuconcentrate sehemu moja so itakuwa big war cost ya uchumi itakuwa kubwa halafu kule Kuna China anataka kuwa big Super power na kuwa boss was uchumi wa dunia hapo hapo hutaki kuiachia hiyo nafasi ni ngumu Sana na hata ukitaka Allies wakusaidie inabidi wapate sababu za kufanya hivyo Saddam alisingiziwa wmd huyu hana Cha kusingiziwa jcpoa wamezingua wao yaani wamemessup kweli kweli ndio maana Obama hakuwa mjinga kufanya nuclear deal
Nasubiri kwa hamu response ya Iran,halafu ndio atajua nini kilichomkuta Saddam na Ghadaff
Sent using Jamii Forums mobile app
Israel na Marekani nindugu haitokaa kutokea ukaskia Israel wana bifu namarekaniURGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aspect nyingi za kuwa superpower ila kiuchumi it's inevitable. Kama wachina ,warusi wanawish hio kitu itokee Basi tuombee waingie ulingoni tuone mpambano na tuone nani loser na nani atagain Kati ya China na USA.Bro vita ya Marekani na Iran kamwe haiwezi kuwa njia ya kuifanya China kuwa Superpower, Marekani ataingia Iran na bado ataendelea kuwa Superpower, regardless ya resources atakazotumia kama vita hiyo itatokea
Bado itachukua muda mrefu China kushika hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri kwa hamu response ya Iran,halafu ndio atajua nini kilichomkuta Saddam na Ghadaff
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mchezo ni siasa na hivyo ndivyo unavyochezwa.Trump mnafiki sana alimshambulia sana Obama kuhusu Iran
Alisema anataka kuvamia Iran ili apate ushindi kwenye uchaguzi View attachment 1311058
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mimi ni 'Anti-Uonevu', sasa kama Amerika ipo kwenye kundi la uonevu umepatia. Suala la kuota ni mtambuka kwako maana upo macho nadhani...ili liwe specific...kwako, tafuta usingizi.
Unafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.Mkuu hapo umeongopa mkuu. Gen Qasim sio equivalent to JCS wa marekani. Gen Qasim ni kamanda wa Quds Force, kikosi cha Iran kinachohusika na Ops mbalimbali za Siri na wazi za nje ya mipaka yao. Hata rank ya chief of staff yaweza kuwa alikuwa hajafika mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Iran linakuzwa pasipo uhalisia, Iraq ni tatizo kubwa zaudi kuliko Iran.Bro vita ya Marekani na Iran kamwe haiwezi kuwa njia ya kuifanya China kuwa Superpower, Marekani ataingia Iran na bado ataendelea kuwa Superpower, regardless ya resources atakazotumia kama vita hiyo itatokea
Bado itachukua muda mrefu China kushika hiyo nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Mkuu naona unaleta vichekesho ila poleni sana.Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
Tupo kwenye 20s, Mkuu.ile miaka ya 90s,
Soleiman kauliwa karibu na KAMBI ya jeshi ya US, USA wanakambi ya jeshi pale karibu na Baghdad airport.Nadhani, Iran watachukua tahadhari zote kabla ya kufanya move yoyote. Kwa shambulio hili, lazima wajikague kwanza ni kwa namna gani US ilifanikiwa kupata coordinates za alipo Soleimani wakati huo. Kwanza "wasafishe" vitengo vyao kwa haraka ndiyo "washugulikie" hili suala.
Ndio nasubiri hicho kisasi sasaAcha ujinga wewe.
Iran washasema watalipa kisasi sjui unakwama wapi kaka
. Iran alisema kitu mara nyingi huwa anafanya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app