Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

The United States embassy in Baghdad urged on Friday all citizens to depart Iraq immediately, hours after the US killed Iranian Quds Force leader Qassem Soleimani and Iraqi militia commander Abu Mahdi al-Muhandis in an air strike.
“Due to heightened tensions in Iraq and the region, the US Embassy urges American citizens to heed the January 2020 Travel Advisory and depart Iraq immediately. US citizens should depart via airline while possible, and failing that, to other countries via land,” it said in a statement.
 
Trump mnafiki sana alimshambulia sana Obama kuhusu Iran
Alisema anataka kuvamia Iran ili apate ushindi kwenye uchaguzi
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Alert!

The UK military has increased its security and readiness at bases in the middle east region following the assassination of Iran's most senior military commander Major-General Qassem Soleimani in Baghdad. [Sky News]
 
Hivi kuna mtu Mwenye akili Timamu anayedhani Mission za Iran zitafanikiwa?

Atakuwa Mwendawazimu
Tatizo hudeal na Iran pekeee amejitengenezea proxy wake Kama 10 zaidi kumzunguka na kuwazunguka maadaui zake ni rahisi kwenda kumpiga mtu Kama Gaddafi ambaye alikuwa Yuko Libya tu Ila kwa Iran inabidi kwanza upigane naye ndani ya Iraq ,Syria,b Lebanon na sehemu nyingine kadhaa hutawezakuconcentrate sehemu moja so itakuwa big war cost ya uchumi itakuwa kubwa halafu kule Kuna China anataka kuwa big Super power na kuwa boss was uchumi wa dunia hapo hapo hutaki kuiachia hiyo nafasi ni ngumu Sana na hata ukitaka Allies wakusaidie inabidi wapate sababu za kufanya hivyo Saddam alisingiziwa wmd huyu hana Cha kusingiziwa jcpoa wamezingua wao yaani wamemessup kweli kweli ndio maana Obama hakuwa mjinga kufanya nuclear deal
 
Bro vita ya Marekani na Iran kamwe haiwezi kuwa njia ya kuifanya China kuwa Superpower, Marekani ataingia Iran na bado ataendelea kuwa Superpower, regardless ya resources atakazotumia kama vita hiyo itatokea

Bado itachukua muda mrefu China kushika hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri kwa hamu response ya Iran,halafu ndio atajua nini kilichomkuta Saddam na Ghadaff

Sent using Jamii Forums mobile app
URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter

Izrail wanaanza kuharisha huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel na Marekani nindugu haitokaa kutokea ukaskia Israel wana bifu namarekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro vita ya Marekani na Iran kamwe haiwezi kuwa njia ya kuifanya China kuwa Superpower, Marekani ataingia Iran na bado ataendelea kuwa Superpower, regardless ya resources atakazotumia kama vita hiyo itatokea

Bado itachukua muda mrefu China kushika hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aspect nyingi za kuwa superpower ila kiuchumi it's inevitable. Kama wachina ,warusi wanawish hio kitu itokee Basi tuombee waingie ulingoni tuone mpambano na tuone nani loser na nani atagain Kati ya China na USA.
 
Mkuu hapo umeongopa mkuu. Gen Qasim sio equivalent to JCS wa marekani. Gen Qasim ni kamanda wa Quds Force, kikosi cha Iran kinachohusika na Ops mbalimbali za Siri na wazi za nje ya mipaka yao. Hata rank ya chief of staff yaweza kuwa alikuwa hajafika mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro vita ya Marekani na Iran kamwe haiwezi kuwa njia ya kuifanya China kuwa Superpower, Marekani ataingia Iran na bado ataendelea kuwa Superpower, regardless ya resources atakazotumia kama vita hiyo itatokea

Bado itachukua muda mrefu China kushika hiyo nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Iran linakuzwa pasipo uhalisia, Iraq ni tatizo kubwa zaudi kuliko Iran.
Trust me, tatizo kubwa la Iran ni Ayatollah, wala siyo Iran kama taifa. Pale ni kufanya change of regie tu basi mwisho wa mchezo.
 
Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
Hahahaha Mkuu naona unaleta vichekesho ila poleni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani, Iran watachukua tahadhari zote kabla ya kufanya move yoyote. Kwa shambulio hili, lazima wajikague kwanza ni kwa namna gani US ilifanikiwa kupata coordinates za alipo Soleimani wakati huo. Kwanza "wasafishe" vitengo vyao kwa haraka ndiyo "washugulikie" hili suala.
Soleiman kauliwa karibu na KAMBI ya jeshi ya US, USA wanakambi ya jeshi pale karibu na Baghdad airport.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom