Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Unahisi US Hatamani Hapendi Hataki Kufanya Hio Change ?!Tatizi la Iran linakuzwa pasipo uhalisia, Iraq ni tatizo kubwa zaudi kuliko Iran.
Trust me, tatizo kubwa la Iran ni Ayatollah, wala siyo Iran kama taifa. Pale ni kufanya change of regie tu basi mwisho wa mchezo.
Kama Unatamani IRAN Aanzishe Vita Na US Unakosea Sana AseeUS alishasema "All Options Are On The Table" na too Bad War Monger Himself Michael Bolton hayupo mbona mambo yangenoga............Ila Binafsi natamani Saaaaana Saaaana IRAN aanzishe Vita na US tumalize Ubishi.
Ni mtu wa pili mwenye nguvu (Ushawishi) za nchini Iran.Nguvu ya nn Mkuu Yakimamlaka Ama Yakiushawishi Katika Taifa
Kama Yakiushawishi Inawezekana Ila Kama Yakimamlaka Sio Kweli.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa sio Trump Ni Rais wa USA,Trump mnafiki sana alimshambulia sana Obama kuhusu Iran
Alisema anataka kuvamia Iran ili apate ushindi kwenye uchaguzi View attachment 1311058
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa hiyo wanaweza kuwa wame muuza sio?maana vita vya madaraka visikie tuUnafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.
Sent using Jamii Forums mobile app
STRUGGLE MAN, Teh teh teh eti F14 zipo tayari mpaka,hizo outdated scraper ndio zimtishe Mmarekani, Kinyago ulichokichonga mwenyewe tangu lini kikakutisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Sadam mlikuwa mnampa kichwa hivi hivi, Ghadaf naye mkampamba weeee mwishowe akafia mtaroni ha ha haVuta subra soon kitanuka huko, Us ataondoka mwenyewe Iraq akitaka asitake
Sent using Jamii Forums mobile app
Quds forces aliyoiongozi ni Kama vile CIA kwa us.walikuwa wanadili na foreign affairs ikamletea umaarufu kwao ,middle East and duniani.akili nyingi na strategy mpaka amewashinda mahasimu wake japo Kuna wakubwa juu yake kabla ya kumfikia Ayatollah na yeye ameongoza mojawapo tu ya unit (qods force) za walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc mkuu ni head irgc then ayatollah na sio jeshi la serikali ya Iran ambalo lenyewe kamanda wao ni waziri wa ulinzi then raisi Rouhan.
Poa tufunge 3 kavu mkuu.tunaanza lini sasa.Duuh, kwahiyo ili shambulizi nijipya?
Aisee inabidi dunia ifanye maombi kwaajili ya middle East.
Mambo ni magumusana huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujuha wewe mwili wa Shahid Hua hauoshwi yeye ni mtu wa peponi.Mkuu, marekebisho.
General hajalala, amefumuliwafumuliwa vibaya sana, pete aliyokuwa akivaa ndio imewajuza kwamba na yeye kafa.hamna mtu ataosha mwili wake kabla ya mazishi, ni mapande mapande ya nyama yametapakaa.
so why did he leave peponi and fly to Baghdad?Acha ujuha wewe mwili wa Shahid Hua hauoshwi yeye ni mtu wa peponi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesema was "seen as"??? Umeielewa hiyo mzee? Ngoja nikusaidie kwa kukupa Mfano: Yaani ni kama unavomzungumzia Makonda kwa Tanzania, lkn haina maana kuwa Makonda ana cheo kuliko CDF.Source-Daily mail oneline magazine Uk.
- Qassem Soleimani killed in US drone strike on Baghdad airport late Thursday
- Quds general was seen as second-most powerful man in Iran and future leader
- He fought against Iraq during invasion of Iran in 1980, became commander of a division before he was 30, and promoted to Quds commander in 2002
- Soleimani helped Shia militias kill hundreds of US troops with IEDs, backed Assad as he slaughtered civilians, and oversaw killing of protesters in Iraq
View attachment 1310923
Khamenei akiwa na the then, General, now the Late Qasem Suleiman.
STRUGGLE MAN, Teh teh teh eti F14 zipo tayari mpaka,hizo outdated scraper ndio zimtishe Mmarekani, Kinyago ulichokichonga mwenyewe tangu lini kikakutisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi,embu soma hiki kipandeQuds forces aliyoiongozi ni Kama vile CIA kwa us.walikuwa wanadili na foreign affairs ikamletea umaarufu kwao ,middle East and duniani.akili nyingi na strategy mpaka amewashinda mahasimu wake japo Kuna wakubwa juu yake kabla ya kumfikia Ayatollah na yeye ameongoza mojawapo tu ya unit (qods force) za walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc mkuu ni head irgc then ayatollah na sio jeshi la serikali ya Iran ambalo lenyewe kamanda wao ni waziri wa ulinzi then raisi Rouhan.