Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]
Tatizi la Iran linakuzwa pasipo uhalisia, Iraq ni tatizo kubwa zaudi kuliko Iran.
Trust me, tatizo kubwa la Iran ni Ayatollah, wala siyo Iran kama taifa. Pale ni kufanya change of regie tu basi mwisho wa mchezo.
Unahisi US Hatamani Hapendi Hataki Kufanya Hio Change ?!

Tatizo La IRAN ni US Aache Ujinga Afanye Mambo Yake Awaache Wairan Wafanze Mambo Yao Bhaaas....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
US alishasema "All Options Are On The Table" na too Bad War Monger Himself Michael Bolton hayupo mbona mambo yangenoga............Ila Binafsi natamani Saaaaana Saaaana IRAN aanzishe Vita na US tumalize Ubishi.
Kama Unatamani IRAN Aanzishe Vita Na US Unakosea Sana Asee

Sababu IRAN Haujawahi Kuwaza Kuanzisha Vita Dhidi Yataifa Jengine..

Ila kwa nn hii vita asianzishe Supee Power US ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wanaweza kuwa wame muuza sio?maana vita vya madaraka visikie tu
 
Ni mtu wa pili mwenye nguvu (Ushawishi) za nchini Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
Quds forces aliyoiongozi ni Kama vile CIA kwa us.walikuwa wanadili na foreign affairs ikamletea umaarufu kwao ,middle East and duniani.akili nyingi na strategy mpaka amewashinda mahasimu wake japo Kuna wakubwa juu yake kabla ya kumfikia Ayatollah na yeye ameongoza mojawapo tu ya unit (qods force) za walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc mkuu ni head irgc then ayatollah na sio jeshi la serikali ya Iran ambalo lenyewe kamanda wao ni waziri wa ulinzi then raisi Rouhan.
 
These stupid acts inspired the assassination of the General. Any body anywhere in the world must be very stupid trying to do these acts against USA Embassies after issues related to such acts in Trilpol in 2012 were brought at the center of electoral politics in the USA in 2016.
1578057487285.png

1578057525447.png


1578057556202.png


1578057595155.png


1578057618491.png


1578057644265.png


1578057671623.png

1578057696185.png

1578057719285.png


1578057754546.png

1578057779032.png

1578057817175.png


1578057843168.png
1578057843168.png
 
  • Qassem Soleimani killed in US drone strike on Baghdad airport late Thursday
  • Quds general was seen as second-most powerful man in Iran and future leader
  • He fought against Iraq during invasion of Iran in 1980, became commander of a division before he was 30, and promoted to Quds commander in 2002
  • Soleimani helped Shia militias kill hundreds of US troops with IEDs, backed Assad as he slaughtered civilians, and oversaw killing of protesters in Iraq
Source-Daily mail oneline magazine Uk.
Wamesema was "seen as"??? Umeielewa hiyo mzee? Ngoja nikusaidie kwa kukupa Mfano: Yaani ni kama unavomzungumzia Makonda kwa Tanzania, lkn haina maana kuwa Makonda ana cheo kuliko CDF.

Kifupi ni kuwa, Gen. Qasim kamandi yake ilikuwa ni nyeti mno kiasi ilimpa access ya moja kwa moja kuripoti kwa Khamenei sometimes bila kupita kwa Mkuu wa Jeshi. Kamandi yake ilikuwa ni nyeti kwasababu inahusisha intelligency na ops zote za Iran nje ya mipaka kwaajili ya usalama wa Iran na kuongeza influence ya Iran pale middle east.

Nadhani umeelewa angalau kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STRUGGLE MAN, Teh teh teh eti F14 zipo tayari mpaka,hizo outdated scraper ndio zimtishe Mmarekani, Kinyago ulichokichonga mwenyewe tangu lini kikakutisha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiongozi hawa jamaa wanaodhani Iran ni superior wanajidanganya sana. Mmarekani na Israel want monitor kila kinachoendelea hapo Iran. Sites zote za nuclear enrichment sijui yalipo makombora yao, ndege zao wanajua ziko wapi na uwezo wao wote unajulikana. Israel ina mamluki wake ndani ya jeshi LA Iran kwa hiyo Acha mmarekani Israel akiamua kusambaratisha jeshi la irani ni 24hrs mchezo umekwisha.mark my words!
 
Quds forces aliyoiongozi ni Kama vile CIA kwa us.walikuwa wanadili na foreign affairs ikamletea umaarufu kwao ,middle East and duniani.akili nyingi na strategy mpaka amewashinda mahasimu wake japo Kuna wakubwa juu yake kabla ya kumfikia Ayatollah na yeye ameongoza mojawapo tu ya unit (qods force) za walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc mkuu ni head irgc then ayatollah na sio jeshi la serikali ya Iran ambalo lenyewe kamanda wao ni waziri wa ulinzi then raisi Rouhan.
Acha ubishi,embu soma hiki kipande
Screenshot_20200103-162718.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom