STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Kiongozi hawa jamaa wanaodhani Iran ni superior wanajidanganya sana. Mmarekani na Israel want monitor kila kinachoendelea hapo Iran. Sites zote za nuclear enrichment sijui yalipo makombora yao, ndege zao wanajua ziko wapi na uwezo wao wote unajulikana. Israel ina mamluki wake ndani ya jeshi LA Iran kwa hiyo Acha mmarekani Israel akiamua kusambaratisha jeshi la irani ni 24hrs mchezo umekwisha.mark my words!
Trump anatakiwa kumrudisha mzee wetu Bolton aka mzee wa masharubuUS alishasema "All Options Are On The Table" na too Bad War Monger Himself Michael Bolton hayupo mbona mambo yangenoga............Ila Binafsi natamani Saaaaana Saaaana IRAN aanzishe Vita na US tumalize Ubishi.
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.
nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
Duuh, kwahiyo ili shambulizi nijipya?
Aisee inabidi dunia ifanye maombi kwaajili ya middle East.
Mambo ni magumusana huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna siku Mayahudi wakasinzia huko Mashariki ya Kati tangu walipofanya hilo kosa mwaka 1967.URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubinadamu! Casualties wanakuwa akina Mama na watoto kama Syria maisha ya watu yanapotea bure ndo maana wanapiga kimya kusubiri hiyo retaliation iwe kisingizio cha kuanza kwa vita
Bado hajazaliwa, Iran ☫ iran baba Lao
Tupia picha za ziada mkuu, something like his buttered head...[emoji1345][emoji1345][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1311117
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa kwa watu kama ww ccm itatawala milele .Kiongozi hawa jamaa wanaodhani Iran ni superior wanajidanganya sana. Mmarekani na Israel want monitor kila kinachoendelea hapo Iran. Sites zote za nuclear enrichment sijui yalipo makombora yao, ndege zao wanajua ziko wapi na uwezo wao wote unajulikana. Israel ina mamluki wake ndani ya jeshi LA Iran kwa hiyo Acha mmarekani Israel akiamua kusambaratisha jeshi la irani ni 24hrs mchezo umekwisha.mark my words!
#Breaking #Iran military forces command: “we will be delivering a seismic response to the #US assassination of General #Soleimani in #Iraq, and the crossing of all the red-lines.”Mm sie niliesema, Wairan wakisema wanafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Check hapo detailed power structure na strategy ya wairan ujue who is who article hiyo achana na story za face book Chapter One: Tehran’s strategic intent
BREAKING: US forces put on alert after #Baghdad Airport strikes that killed Quds commander Soleimani - report Iran, Pentagon Confirm Death of Quds Commander Qasem Soleimani in Baghdad Airport Attack Sputnik on Twitter
Wanajua kitakachofuata
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri kiingereza kina kukata chenga. Hapo kwenye sentence.. "will be" ni wakati ujao...? Wala si kwamba eti ndio wamefanya.
Ni kwamba wamesema watajibu? How? Ndio tusubiri
Sent using Jamii Forums mobile app
hao wairan ni wajinga sana, hicho kidude kilichomshambulia General kilikuwa angani pamoja na hiyo ndege sasa walishindwaje kumanage situation ya kakitu kuwa angani jirani na ndege iliyobeba mtu sensitive namna hiyo?Check hapo detailed power structure na strategy ya wairan ujue who is who article hiyo achana na story za face book Chapter One: Tehran’s strategic intent
URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app