Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Basi ingelikua washaivamia so wanaogopa nn?
Kiongozi hawa jamaa wanaodhani Iran ni superior wanajidanganya sana. Mmarekani na Israel want monitor kila kinachoendelea hapo Iran. Sites zote za nuclear enrichment sijui yalipo makombora yao, ndege zao wanajua ziko wapi na uwezo wao wote unajulikana. Israel ina mamluki wake ndani ya jeshi LA Iran kwa hiyo Acha mmarekani Israel akiamua kusambaratisha jeshi la irani ni 24hrs mchezo umekwisha.mark my words!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umesoma ulicho amdika hapo au umekurupuka
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.

nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Genius and hero of the century
IMG-20200103-WA0014.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D. D. D. D. D huyo marekani leo ana ubinaadamu wa kuhofia kina mama na watoto au taifa la Kiislam? Sema anaogopa respond [emoji23] [emoji23] Atari sana mkuu
Ubinadamu! Casualties wanakuwa akina Mama na watoto kama Syria maisha ya watu yanapotea bure ndo maana wanapiga kimya kusubiri hiyo retaliation iwe kisingizio cha kuanza kwa vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hawa jamaa wanaodhani Iran ni superior wanajidanganya sana. Mmarekani na Israel want monitor kila kinachoendelea hapo Iran. Sites zote za nuclear enrichment sijui yalipo makombora yao, ndege zao wanajua ziko wapi na uwezo wao wote unajulikana. Israel ina mamluki wake ndani ya jeshi LA Iran kwa hiyo Acha mmarekani Israel akiamua kusambaratisha jeshi la irani ni 24hrs mchezo umekwisha.mark my words!
Haaa kwa watu kama ww ccm itatawala milele .
 
Nafikiri kiingereza kina kukata chenga. Hapo kwenye sentence.. "will be" ni wakati ujao...? Wala si kwamba eti ndio wamefanya.
Ni kwamba wamesema watajibu? How? Ndio tusubiri
#Breaking #Iran military forces command: “we will be delivering a seismic response to the #US assassination of General #Soleimani in #Iraq, and the crossing of all the red-lines.”Mm sie niliesema, Wairan wakisema wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Check hapo detailed power structure na strategy ya wairan ujue who is who article hiyo achana na story za face book Chapter One: Tehran’s strategic intent
hao wairan ni wajinga sana, hicho kidude kilichomshambulia General kilikuwa angani pamoja na hiyo ndege sasa walishindwaje kumanage situation ya kakitu kuwa angani jirani na ndege iliyobeba mtu sensitive namna hiyo?
 
Back
Top Bottom