Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ni aibu sana General "mkakamavu na anaeyegemewa" kufa kizembe namna hii,hii inaonyesha kuwa Iran intelligence yake bado ipo chini sana na pia hawana maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Sababu baada ya issue ya Ubalozini huyu General asingepaswa kuwepo Iraq ila kwa kuwa wameishi kwa mazoea na mawazo mfu ya kuwa Marekani hatafanya chochote eti kwa sababu ya Uchaguzi sasa ndio inakula kwao.BREAKING: US created dangerous situation in Middle East, must be ready for consequences - Iranian presidential aide Iran, Pentagon Confirm Death of Quds Commander Qasem Soleimani in Baghdad Airport Attack Sputnik on TwitterTulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app