Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Muhammad Saeed al-Sahhaf anamwambia maadui tumewafyeka wote kumbe askari wa USA wako Baghdad mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Yani mtu yuko on high alert unasema anafanya nini ? Unataka asinzie akutwe off guard ??... Yan hiyo inaitwa "Tikisa Tukutingishe"URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ananyolewa atulieBREAKING: US created dangerous situation in Middle East, must be ready for consequences - Iranian presidential aide Iran, Pentagon Confirm Death of Quds Commander Qasem Soleimani in Baghdad Airport Attack Sputnik on TwitterTulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani, Iran watachukua tahadhari zote kabla ya kufanya move yoyote. Kwa shambulio hili, lazima wajikague kwanza ni kwa namna gani US ilifanikiwa kupata coordinates za alipo Soleimani wakati huo. Kwanza "wasafishe" vitengo vyao kwa haraka ndiyo "washugulikie" hili suala.URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni uhakika hata waliofanya hayo mauaji ni Israeli kwa kivuli cha US, wanajua saana kupindua picha hawa jamaaURGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo USA imetoa kichapo hicho, bali ni Mosad, kwa kofia ya USA.Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaURGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sovereign ganu unayoiongelea ww mkuu kwan Mtu Alouawa akuawa akiwa wapi na IRAN Anapata Vp Haki Yakujilinda Kwa DirectFrank, kwa mtu anayefuatilia siasa za uhasama za Iran na USA, the only conclusion one can draw from this act of "aggression" of USA against Iran, is that: this is an opportune kumtia adabu USA maana sasa Iran ana sababu ya kutumia any military capability at her disposal to retaliate kutetea sovereignty ya nchi yake na jumuia ya kimataifa ikamuunga mkono! Kuna mjadala mkubwa ongoing now on CNN, kama una nafasi angalia
US Hajawahi Kumchekea Mtu Labda Awe Hamuwezi Kama IRAN [emoji12][emoji12][emoji12][emoji14][emoji14]Hahahaha hawatathubutu,njoo tubeti kama Iran atafanya kitu. Kipindi ndio atajua Marekani ni nani,maana walikuwa wanamchekea mpaka ikafikia hatua ya kumshika Simba sharubu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio IRAN Akifanya Lolote Sasa Hv US Hatangojea Uchaguzi Upite Sindio Ama US Hata Amini KitakachomkutaNakwambia hivi,kama Iran anajipenda hataweza kujaribu huo ujinga sababu anajua Safari hii US hatamuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu Amsameh Alipoteleza......Alikua Moja ya Makamanda wenye akili nyingi, mwerevu sana na mtiifu kwa serikali ya Iran yeye hasa akireport moja kwa moja kwa Mwenyewe Ayatollah...
Iran imepata pigo kubwa sana hasa....sio mchezo..katika hali ya kawaida yeye hakupaswa kuwa pale Iraq mida hii hasa kutokana na fujo hizi za karibuni..Irani na waajemi wote wanalia Duniani Kote..General Souleiman kalala mauti kama na sisi wote tutakavyolala siku moja.
Ameifia nchi yake...hajafa kwenye ulevi wala akipigania Wanawake Allah Amuweke pema...
Lakini pia kumbuka hata Iran imesha ifanyia marekani matukio ambayo yangeifanya marekani iingie vitani na Iran lakini marekani akanywea.NIGUSE NINUKE,. USA Wameguswa na Wamenuka Iran kazi Wanayo Wakijichanganya watatandikwa mpaka Wapoteane.
Jamaaa alikua ana ishi kimaficho ficho IRAQ SYRIA LEBANON Na Nchi Nyengne Hapo Mido Ist Kwahio Asingeweza Kua Na Official Kampan Sababu Alikua Anafanya Mishen Zasiri MnoooKwahiyo generar wa kiwango cha juu namna hiyo anatembeaje bila ya ulinzi kutoka nchi aliyo itembelea?
Dunia Ina Maajabu Sana US Akibonyezwa Mnataka Angojee Uchaguzi Mkuu Upite Ila Akichokozwa IRAN Mnataka IRAN Atoe Majibu Hapo Hapo Inashangaza Mnooo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Muhammad Saeed al-Sahhaf anamwambia maadui tumewafyeka wote kumbe askari wa USA wako Baghdad mitaani