Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Walipitisha 2011 Waajemi Wakabahatisha[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Upya Post yang kama uki ielewa Uijibu..Kumbuka Iraq nae anazalisha mafuta na machafuko yaliyopo Iraq ndio faida kwa USA
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaaa "mahabara" au sio...[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
I think zipo independent na CIA,ila zinategemeana na zipo chini ya director of national intelligence.A.k.a wanaziita child agencies. How ever zingine ziko chini ya c.i.a. zingine zina operate nje ya c.i.a.
Ni za siri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
I think zipo independent na CIA,ila zinategemeana na zipo chini ya director of national intelligence.
I think zipo independent na CIA,ila zinategemeana na zipo chini ya director of national intelligence.
Mkuu, nimegundua watu hawaelewi kabisa Iran ni nani, hata kama anaweza kupigwa na marekani lkn sio kirahisi kama wanavyodhani. Iran ni Taifa kubwa kiuchumi na kimaendeleo na kiviwanda. Hawataanguka overnight kama watu wanavyodhani. Dunia inawazungumzia sana kila siku kwasababu wanao msuli unaoonekanaMkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRAN
Kumbe USA wanaiheshimu Iran kiasi franUpdates!
The Pentagon has started to move US troops and assets to the middle east secretly,and all US citizens also ordered to leave Iraq imediately!
BREAKING: #Iran vows retaliation following death of IRGC commander #Soleimani - senior military officer Iran Vows Retaliation Following Death of IRGC Commander Soleimani - Senior Military Officer Sputnik on TwitterJITAARISHENI KIPIGO CHAJA
View attachment 1310666
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kama vile US yenyewe haiui raia huko Syria,Afganistan,Iraq.Na umesahau kusema sio tu gen soleiman aliuawa, pia kauawa major genaral hussein jafari, lt, col, shahraund mozaffari, major general hedi tameri, , captain vahid zamamev, hao wote ni wakubwa wa QUADS FORCE ya iran, marekani walikuwa wanamufuatilia huyu gen soleiman kwa muda sasa, na ile mission imekuwa WELL PLANNED, ORGANIZED, AND EXCUTED BY ELITE US FORCES USING DRONES, huyu gen soleiman ameua mamia ya watu, huko iraq, lebanon, syria, israel na mataifa mengi sana, na pia mamia ya wanajeshi wa marekani, achomeke kwa shetani kwa moto wa milele, WE SALUTE YOU YOUR EXCELLENCE MR PRESIDENT DONALD JOHN TRUMP and the america forces that carried the killing,
Mkuu nadhani uwe unaelewa usiwe unaandika kitu kupitia links ambazo siyo reliable au ambazo unaona zitakufurahisha..
Soma article hii chini then uje ujisahihishe kuwa either global hawk au predator drone ni stealth kama unavyosema!
Nachojua ni kuwa huwa zinapita juu sana kutoka ardhini(altitude)
Link;
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!!.Unafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
Urais wa DT unawatesa sana demo..Ila wamarekani, inapaswa waje hapa nyumbani wafundishwe somo wa uzalando pale lumumba, kumetokea mpasuko huko kati ya Democrats wanaodai mauaji ya General Qasem hayakuwa na baraka za seneti, huku Republicans wakiyaunga mkono.
ila nadhan democrats wanamatatizo sababu mwaka jana vikosi vilivyokuwa vikiongozwa na Qasemu vilitambuliwa kama kundi la kigaidi. sasa kiongozi wa magaidi kuuwawa seneti wanataka washirikishweje, walipomuua osama bin laden senet ilishirikishwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tunatoana stress za life ya kibongo tu humu, maana tukidiscas siasa za kibongo tutakujaambiwa tunataka kujinyonga so tutafunguliwa mashtaka[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app