Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walipitisha 2011 Waajemi Wakabahatisha

Wakapitisha na 2019 Pia Wakabahatisha


Waache Wahenge Wairan Wao Watabahatisha 2 ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaaa "mahabara" au sio...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think zipo independent na CIA,ila zinategemeana na zipo chini ya director of national intelligence.

Zingine zimo humu:JF zina kukusanya /:gather, kuchambua na kuhifadhi taarifa za kila aina zitazosaidia maslahi ya taifa kubwa kwa sasa au baadaye. Mikono, masikio , macho na teknolojia ya taifa hili kubwa haichoki wala kulala ktk kukusanya taarifa ktk kona zote za ulimwengu huu.
 
Mkuu IRAN ni taifa tajiri africa hakuna nchi inayoikuta kwa pesa wameisharusha hadi chombo angani huko waliweka nyani na akaludi salama wanazo drones na kila kitu hadi dunia inamzungumzia manake sio mtu mwepesi wale waajemi uliokua unawasoma kwenye historia ndio hawa IRAN
Mkuu, nimegundua watu hawaelewi kabisa Iran ni nani, hata kama anaweza kupigwa na marekani lkn sio kirahisi kama wanavyodhani. Iran ni Taifa kubwa kiuchumi na kimaendeleo na kiviwanda. Hawataanguka overnight kama watu wanavyodhani. Dunia inawazungumzia sana kila siku kwasababu wanao msuli unaoonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
75AB8439-B977-4B4B-9A5A-E66A2A64A980-36525-00003E09FF2B439F.jpg


Huyu Ayatollah kachanyikiwa kweli kweli......Kaamua kusambaza picha ikimuonesha Qassim Soleman akipokewa na Mjukuu mwa mtume Imam Hussein huko Peponi kwa allah, ila cha Kushangaza wale Mabikira 72 hajawaweka.
 
Na umesahau kusema sio tu gen soleiman aliuawa, pia kauawa major genaral hussein jafari, lt, col, shahraund mozaffari, major general hedi tameri, , captain vahid zamamev, hao wote ni wakubwa wa QUADS FORCE ya iran, marekani walikuwa wanamufuatilia huyu gen soleiman kwa muda sasa, na ile mission imekuwa WELL PLANNED, ORGANIZED, AND EXCUTED BY ELITE US FORCES USING DRONES, huyu gen soleiman ameua mamia ya watu, huko iraq, lebanon, syria, israel na mataifa mengi sana, na pia mamia ya wanajeshi wa marekani, achomeke kwa shetani kwa moto wa milele, WE SALUTE YOU YOUR EXCELLENCE MR PRESIDENT DONALD JOHN TRUMP and the america forces that carried the killing,
Yaani kama vile US yenyewe haiui raia huko Syria,Afganistan,Iraq.

Unafiki bana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama umeweza kubishana na Washngton post then mimi ni nani mpk unielewe?
Mkuu nadhani uwe unaelewa usiwe unaandika kitu kupitia links ambazo siyo reliable au ambazo unaona zitakufurahisha..

Soma article hii chini then uje ujisahihishe kuwa either global hawk au predator drone ni stealth kama unavyosema!

Nachojua ni kuwa huwa zinapita juu sana kutoka ardhini(altitude)

Link;


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafahamu kuwa General Soleimani ni mtu wa pili powerful Iran baada ya Ayattola?. Ndio maana wale wanasiasa moderates wa Iran walikuwa wanahofia kuwa ikitokea Ayattola kafariki basi General Soleimani anaweza kugeuka akawa kama Al-Sis wa Egypt.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!!.
kumbe jamaa alikuwa n mtu mkubwa sana Iran!!.
Mi nilikuwa namchukulia kama akina Musuguri, Mwamnyange Etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wairan wamepata pigo,na tatizo la mageneral wa Iran ni kupenda kuwa Frontline tofauti na mageneral wa nchi Kama Israel wanashinda wamejificha ndani,au mageneral wa marekani ambao hata Iraq hutembelea kea kushitukiza Tena usiku wa manane
[emoji23] [emoji23] [emoji23]..
Nina kukubali sana katika hii nyanja.

na hapo bado ujaanza kuchambua yale madude akina Rocket ranger, warhead etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wamarekani, inapaswa waje hapa nyumbani wafundishwe somo wa uzalando pale lumumba, kumetokea mpasuko huko kati ya Democrats wanaodai mauaji ya General Qasem hayakuwa na baraka za seneti, huku Republicans wakiyaunga mkono.

ila nadhan democrats wanamatatizo sababu mwaka jana vikosi vilivyokuwa vikiongozwa na Qasemu vilitambuliwa kama kundi la kigaidi. sasa kiongozi wa magaidi kuuwawa seneti wanataka washirikishweje, walipomuua osama bin laden senet ilishirikishwa?
Urais wa DT unawatesa sana demo..
nimeshangaa sana, et ili tukio nalo limeingizwa kwenye siasa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom