Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Wakapitisha na 2019 Pia Wakabahatisha
Waache Wahenge Wairan Wao Watabahatisha 2 ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipitisha 2011 Waajemi Wakabahatisha[emoji769][emoji2400][emoji2398] Marekani Kama mchawi hashindwi kitu chochote. Kuanguliwa kwa ile drone kutawafanya waingie tena mahabara watengeneze drones nyingine wanapitisha tena ili kuhakikisha kwamba jamaaa walibahatisha au vip? Yaani kupambana na USA unahitaji ubongo wenye uwezo mkubwa wa kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakapitisha na 2019 Pia Wakabahatisha
Waache Wahenge Wairan Wao Watabahatisha 2 ....
Sent using Jamii Forums mobile app