Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Husilie sasa
 
Umenena vyema lakini ukasahau wote humu ni watu wazima usituchukulie mafala...
Kwahyo sharia law mpaka leo wanapowaua watu wanaohama uislam wameangalia "historical context?" Au wamefata maagizo ya Allah...
Kill the apostates kill the kafirs takbir!! Even the imams at answering islam know it!!
afu uku bongo mnatuletea taqqiya
 
Iran hana uwezo wa kwenda kwenye open war na USA, labda ajifiche kwenye proxy zake afanye mashambulizi ya kujificha gizani. Tofauti na hapo Iran itakuwa Libya ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assad kashikiliwa pale na Mrusi, wala hana ubavu wowote. Nakubaliana na wewe kwa sababu nyuma ya huyu mwajemi Mrusi yupo pia.
Hata Assad wa syria ilitegemewa kuwa ataanguka baada ya miezi miwili tu lkn hadi leo ni takribani miaka saba na nchi inazidi kuimarika. Usimtazame Iran, tazama walio nyuma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isingesaidia, jiulize walianza kumfuatilia akiwa wapi mpaka wanafanya maamuzi ya kutuma drone za kushambulia. Hata angetembea uchi tayari alikuwa kashawekwa kwenye target. Popote akina Yuda Iscariot huwa hawakosekani!
Angekuwa mjanja angevaa japo mabaibui then apande bajaji kuwapotezea maadui. Bahati mbaya ndio hivyo tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Israel ipo vizuri kijeshi lakini ungesoma vyema six days war uilewe ilikuwaje, Israel kwenye upande wa kukusanya information wapo vizuri na ndicho kilichowasaidia kwenye hio vita. Israel wanaamini Information Is Power so hawalali hawa jamaa usiku na mchana.

Kitu kingine watu wasichokifahamu ni kwamba upande wa kufanya maamuzi wapo faster tofauti na waarabu ambapo viongozi wao ni kama dectator(wanategemewa kufanya maamuzi kwa kila jambo) , Kwa Israel ni tofauti kabisa sio kila jambo aamue kiongozi wao mkubwa bali hata wakubwa kijeshi wanafanya maamuzi chap sana, hilo linafanya Israel iwe faster kwenye kuchukua hatua.

Inakuwa ngumu kwa Israel kuidhibiti kwa sababu Israeli inapigana kwa ajili ya uwepo wake, hatuwezi kusikia Israel imeshindwa vita kwa sababu siku ikishindwa ndio mwisho wake (watasambaa tena kama zamani), wanapigania uwepo wao, kutanga tanga miaka 2000 sio mchezo, Israel inapigana isipotee, waarabu wanaipiga Israel ipotee pale middle east.

Siku wakifanya mistake waarabu watatumia fursa vizuri kabisa kuhakikisha wana ipoteza Israel na kulipa kisasi, usije shangaa siku Israel nayo inapigwa hadi inaomba poo, unaweza rejea vita ya 2006 kati yao na hezbollah Israel ilivyo wa cost.
 
Mimi nachojua waarabu walipigwa....kuhusu walipigwaje hayo jua wewe..
Kwani intellijensia sio uimara wa kijeshi??
Unaweza toa sababu kwanini Israel walishinda mpaka kesho kutwa lakini hata kama wangekuwa wanapigania uhai wao kama uwezo (inteligency,military,tactics) wasingekuwa navyo hata kama morali ya kupigania existence ingekuwa kubwa kiasi gani WASINGESHINDA...
Lakini ukweli ni kuwa saivi Israel kawapiga gep wengi Kwenye technology ya kivita saiv...so the next Israeli war will be total obliteration of enemies
 
Marekani na Trump wanajua wanachokifanya.Wamemuua makusudi huyo kamanda wa Iran ili Iran itaharuki na kujiingiza kwenye vita kichwakichwa.Kumbuka marekani anadai Iran wanakaribia kutengeneza silaha za nuklia.Marekani inajua kuishambulia Iran bila sababu yeyote ingelaaniwa na dunia yote na Trump angepata upinzani hata ndani ya marekani toka kwa Democratic. Sasa hivi Iran akishambulia maslahi yeyote ya marekani mashariki ya kati au popote duniani ,marekani itapata sababu ya kuishambulia Iran pamoja na vinu vyake Vya nyuklia pasipo kupingwa na dunia:
 
Mimi siyo juha kama hao majuha wenzako unaokutana nao kwenye mijadala ya kidini. Wewe endelea na chuki zako. Huku tulipo tunaishi poa tu licha ya utofauti wetu wa kidini. Kwa sababu tunaifahamu dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…