mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Kwani ameshawaua watu mil. Ngapi so far?ni kaa vile magufuli hahusiki na kupotea kwa azory gwanda, ben saa nane kupigwa risasi kwa tundu lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ameshawaua watu mil. Ngapi so far?ni kaa vile magufuli hahusiki na kupotea kwa azory gwanda, ben saa nane kupigwa risasi kwa tundu lissu
Wataishia kwenye mabalozi tuu lakini kufika mpakani wa marekani wahindi husema "Nehi baba"EINSTEIN112,
sasa tunasubiri Iran "ijitutumue" kuanzisha vita na USA! Iran umepata mwanya wa kumpiga USA, itumie nafasi hii kumpiga maana ulikuwa unatamani such an opportunity to offer itself!
Husilie sasaAlikua Moja ya Makamanda wenye akili nyingi, mwerevu sana na mtiifu kwa serikali ya Iran yeye hasa akireport moja kwa moja kwa Mwenyewe Ayatollah...
Iran imepata pigo kubwa sana hasa....sio mchezo..katika hali ya kawaida yeye hakupaswa kuwa pale Iraq mida hii hasa kutokana na fujo hizi za karibuni..Irani na waajemi wote wanalia Duniani Kote..General Souleiman kalala mauti kama na sisi wote tutakavyolala siku moja.
Atakumbukwa kama Kamanda wa ukweli mwenye akili na mzalendo kwa nchi yake ya Iran na Waajemi wote.
Ameifia nchi yake...hajafa kwenye ulevi wala akipigania Wanawake Allah Amuweke pema...
[emoji23] [emoji23]Bado tuko msibani,kuanzia kesho na hasa jumatatu mambo yataanza,kwasasa US wako busy kujaribu kuhit base za PMU huko Iraq na syria
Umenena vyema lakini ukasahau wote humu ni watu wazima usituchukulie mafala...Mwanzo wa kitu hukijui halafu unashabikia mwisho wake tafakuri zenu huwa mnazipeleka wapi?
Unafikiri ni kwa nini Quran wasiyoijua wakisoma translation yake wanasema visa vyake havina mtiririko? Umeshawahi kujiuliza hili?
Quran imeshuka kwa miaka 23! Ndiyo ikawa imekamilika. Moja ya sababu ya mtiririko wake kutofautiana ni kwa sababu aya zilikuwa zinashuka kulingana na matukio husika kwa nyakati husika zilizo tofauti.
Usinichoshe tafadhali! Sihitaji mikwaruzano na mtu! Sihitaji kuharibu Uzi wa watu.
Frank, kwa mtu anayefuatilia siasa za uhasama za Iran na USA, the only conclusion one can draw from this act of "aggression" of USA against Iran, is that: this is an opportune kumtia adabu USA maana sasa Iran ana sababu ya kutumia any military capability at her disposal to retaliate kutetea sovereignty ya nchi yake na jumuia ya kimataifa ikamuunga mkono! Kuna mjadala mkubwa ongoing now on CNN, kama una nafasi angalia
Iwapo hivi vita vitatokea dunia itakumbwa na janga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ss mossad inaogopa nn kutangaza kama wamehusika Ama Wanamuogopa MUAJEMI ?!...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ss hakuna jibu litatoka Toka TEHRAN Japo jibu litatoka 2 hatakama sio mwaka Huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Assad wa syria ilitegemewa kuwa ataanguka baada ya miezi miwili tu lkn hadi leo ni takribani miaka saba na nchi inazidi kuimarika. Usimtazame Iran, tazama walio nyuma yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sasa usimtoe mwisrael mchezeni,siyo yote yataelezwa.Huyu jamaa mwaka huu alikoswa koswa kulambwa kichwa na Israel,hatimae CIA imemdaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mjanja angevaa japo mabaibui then apande bajaji kuwapotezea maadui. Bahati mbaya ndio hivyo tena.
-Mwandishi mmoja wa masuala ya ugaidi anasema "Iran will retaliate without even claiming responsibility, that is what they do"
Hapo utakuta upo kwenu huko Nzega ila kwa jinsi ulivyopost hapo unajiaminisha mwenyewe kua wewe ni mmarekani tena unaishi Washington.
Syria = Russian proxy[emoji1134] USA [emoji631] NATO hawato msahau kamwe huyo mtu kitendo cha wao kupigwa na kushindwa vita ndani ya ardhi ya Syria na iraq [emoji1131]
Marekani kama beberu tu, akiamua tu lazima mbuzi jike azae.Huyu jamaaa alikuwa anajifanya bandidu wamembandua. Marekani akikutaka hakukosi, hata kama atachukua muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Israel ipo vizuri kijeshi lakini ungesoma vyema six days war uilewe ilikuwaje, Israel kwenye upande wa kukusanya information wapo vizuri na ndicho kilichowasaidia kwenye hio vita. Israel wanaamini Information Is Power so hawalali hawa jamaa usiku na mchana.Nimezifatilia zile vita za waarabu walipoungana wote vs Israel...yaani kwa kipindi kile technologically walikuwa wanalingana lakini wingi wa wanajeshi,ndege za kivita,matenki n.k waarabu walikuwa navyo mara kumi ya waisrael lakini kipigo walichochezea ni cha mbwa mwitu...tena kaisrael kaliwapiga siku sita ya saba kakapumzika sabato.,,kazi ilikuwa ishaisha......
Sasa sipati picha saivi kaisrael kameshawapiga gep kitechnolojia mara 100...sijui wakipigana itakuwaje
Mimi nachojua waarabu walipigwa....kuhusu walipigwaje hayo jua wewe..Mkuu Israel ipo vizuri kijeshi lakini ungesoma vyema six days war uilewe ilikuwaje, Israel kwenye upande wa kukusanya information wapo vizuri na ndicho kilichowasaidia kwenye hio vita. Israel wanaamini Information Is Power so hawalali hawa jamaa usiku na mchana.
Kitu kingine watu wasichokifahamu ni kwamba upande wa kufanya maamuzi wapo faster tofauti na waarabu ambapo viongozi wao ni kama dectator(wanategemewa kufanya maamuzi kwa kila jambo) , Kwa Israel ni tofauti kabisa sio kila jambo aamue kiongozi wao mkubwa bali hata wakubwa kijeshi wanafanya maamuzi chap sana, hilo linafanya Israel iwe faster kwenye kuchukua hatua.
Inakuwa ngumu kwa Israel kuidhibiti kwa sababu Israeli inapigana kwa ajili ya uwepo wake, hatuwezi kusikia Israel imeshindwa vita kwa sababu siku ikishindwa ndio mwisho wake (watasambaa tena kama zamani), wanapigania uwepo wao, kutanga tanga miaka 2000 sio mchezo, Israel inapigana isipotee, waarabu wanaipiga Israel ipotee pale middle east.
Siku wakifanya mistake waarabu watatumia fursa vizuri kabisa kuhakikisha wana ipoteza Israel na kulipa kisasi, usije shangaa siku Israel nayo inapigwa hadi inaomba poo, unaweza rejea vita ya 2006 kati yao na hezbollah Israel ilivyo wa cost.
Mimi siyo juha kama hao majuha wenzako unaokutana nao kwenye mijadala ya kidini. Wewe endelea na chuki zako. Huku tulipo tunaishi poa tu licha ya utofauti wetu wa kidini. Kwa sababu tunaifahamu dini.Umenena vyema lakini ukasahau wote humu ni watu wazima usituchukulie mafala...
Kwahyo sharia law mpaka leo wanapowaua watu wanaohama uislam wameangalia "historical context?" Au wamefata maagizo ya Allah...
Kill the apostates kill the kafirs takbir!! Even the imams at answering islam know it!!
afu uku bongo mnatuletea taqqiya
Weiterleitungshinweis
www.google.com