Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Nadhani, Iran watachukua tahadhari zote kabla ya kufanya move yoyote. Kwa shambulio hili, lazima wajikague kwanza ni kwa namna gani US ilifanikiwa kupata coordinates za alipo Soleimani wakati huo. Kwanza "wasafishe" vitengo vyao kwa haraka ndiyo "washugulikie" hili suala.
 
Hiyo siyo USA imetoa kichapo hicho, bali ni Mosad, kwa kofia ya USA.
 
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia.

In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
 
Sovereign ganu unayoiongelea ww mkuu kwan Mtu Alouawa akuawa akiwa wapi na IRAN Anapata Vp Haki Yakujilinda Kwa Direct

Kwa nn US Haku retaliate Wakat IRAN Alipo2ngua Drone Yake Ambayo US walidai Ilikua Katika Anga Zakimataifa


IRAN Atauliwa Wanajeshi Wake SYRIA IRAQ LEBANON Hata Hapa Kenya Kama Wapo Ila US Hataweza Kuishambulia IRAN Ndani Yamipaka Yake Hata Aambiwe Hakufiiii



US = PAPER TIGER


Soleiman Kafa Kishujaa Sanaa I Wish Namini Nisikufe Kiboya Boya Nikufe Nikiwa Napambanua Taifa Langu Adhwiimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameeen Mungu Amsameh Alipoteleza......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iwapo hivi vita vitatokea dunia itakumbwa na janga.
 
Kwahiyo generar wa kiwango cha juu namna hiyo anatembeaje bila ya ulinzi kutoka nchi aliyo itembelea?
Jamaaa alikua ana ishi kimaficho ficho IRAQ SYRIA LEBANON Na Nchi Nyengne Hapo Mido Ist Kwahio Asingeweza Kua Na Official Kampan Sababu Alikua Anafanya Mishen Zasiri Mnooo

Jengne US Wanapo Amua Lao Hua Hawaoni Muhali Hata kuua Raia Ama Rais Wanchi Husika Ili Watimize Malengo Yao



Damu Yajamaa Haitawaacha Salama Hatakama Si Leo Kesho Ama Mwaka Huu

Najua IRAN Hawatatoa majibu kwa wakat huu na kama itatokea wametoa majibu kwa ss hayatakua muafaka kwa mtu makini kama kamanda soleiman


All In All Sisi Sote Niwake Nakwake Tutarejelea Allah Amsameh Makosa Yake Na Amsameh Alipoteleza....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji16][emoji23] hehehe..
Ngoja nione lkn naamini Iran hawezi kujipima ubavu na USA! Ni yale yale ya wazir wa habari wa Sadam Husein
Muhammad Saeed al-Sahhaf anamwambia maadui tumewafyeka wote kumbe askari wa USA wako Baghdad mitaani
Dunia Ina Maajabu Sana US Akibonyezwa Mnataka Angojee Uchaguzi Mkuu Upite Ila Akichokozwa IRAN Mnataka IRAN Atoe Majibu Hapo Hapo Inashangaza Mnooo[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]


IRAN Majibu Yatakuja Tu Hatakama Sio Leo Kesho Ama Kesho Kutwa Ama Mwaka Huu Kwan Alisema Kuhusu Meli Ndege Nakadhalika Alifanya Hakufanya..mmm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…