Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

HIYO NDIO AMERICA BWANA IMESEMA WAZI SISI NDO TUMEMUUA UMEKASIRIKA INGIA MZIGONI UONE....IRAN MAKELELE TU HANA UBAVU WA VITA NA AMERICA UKWELI UKO HIVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam; kilichokuwa kinasubiriwa na Pentago ni sifnature ya Trump tu sio zaidi wala pungufu. Commander in Chief alipotoa tu idhini generali kule kageuzwa mishikaki fasta. Ha ha ha. Ila uhuni waliofanya Iran kucoordinate vurugu ubalozi a Marekani huko Baghdad ulistahili.kujibiwa kwa onyo kali.
 
Redline ya trump ni pale raia wa marekani angeuwawa au kujeruhiwa,na sasa Iran kafanya hilo
 
Lakini pia kumbuka hata Iran imesha ifanyia marekani matukio ambayo yangeifanya marekani iingie vitani na Iran lakini marekani akanywea.
Ukweli ni kuwa hakuna mwenye hamu ya vita baina yao. Wote wanapigana mikwara tu, wanajua vyema athari za vita baina yao zitakavokuwa na matokeo mabaya kwa uchumi wao na mataifa mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan Alokiri Kushambulia Nani Mkuu ?!
Yaani wewe unajua kama Mossad wakati wahusika walishajitaja [emoji12][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahahah! hizo ni janja zao! Militarism strategies, kuhadaa ulimwengu mkuu! akili za kuambiwa?

Ni kama Mrusi anavo mtanguliza Iran ktk hili! kwani aliyetoboa siri ya Mosad kushambulia ni nani? but Mrusi amemshauri Iran alikubali km lilivo tangazwa, ili kuonyesha Dunia kwamba wana kinyongo na ku concetrate kwa USA,

Impactations itakuwa kwa Israel amabayo ndo mlengwa, na wayahudi wanalijua hili fika, wanajipa muda

Trump ametumiwa tu kusema
 
Wamezingua sana Iran intelligence
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Walipo2nguliwa drone yao walishindwaje kudhibitisha

US wakawaida Mnooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongelea drones? ukitaka kujua America ni vichaa duniani lipua meli yao ya kivita,si ipo hapo Gulf kila siku,Mbona Iran hajawahi hata kuirushia kombora?They know it! au mwambie akashambulie a US city alafu uje utupe mrejesho hapa!
 
Hapa hakuna vita itakayotokea kwasababu Gen Qasem kauawa nje ya mipaka ya nchi yake. Hakuna soveregnty ya Iran iliyovunjwa, hivyo Iran hana legitimacy ya kurudisha mapigo ya moja kwa moja. So, hapo Iran atatafuta nayeye namna ya kumchoma marekani kisu cha mgongoni ambapo na marekani naye atakosa legitimacy ya kumvamia Iran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana una cheo kikubwa saana hapo CIA
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umechemka, hakuna soveregnty ya Iran iliyoingiliwa. Qasim kauawa nje ya mipaka ya Iran. Ilichofanya marekani ni kumchoma kisu cha mgongoni Iran. Amin nakwambia, Iran sio wajinga hawatajibu mashumbulizi kijinga, baadala yake na wao watatafuta fursa ya kumchoma kisu cha mgongoni marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu comments za humu zinaonyesha jinsi hizi taarifa zimewauma, yaani wana uzalendo kwa Iran kushinda hata nchi yao Tanzania, hehehe!! Piga kenge hao, kwa hili nampa hongera mzee Trump, usicheke na hawa vikaragosi, kuna huyo kiongoz wao Ali Khamenei, akae akijua na yeye hapo alipo atapokea salamu tu, aendelee kubwatuka.
 
Sovereignty?Brother huyo jamaa ni equivalent to US chairman of joint chief of Staffs,sasa wamsubirie wamuue Joint chief of Staffs wa Marekani akiwa taifa lingine uone hyo sovereignity kama inafanya kazi ama lah,Iran won't dare.
 
Uchambuzi makini. Si Iran wala US mwenye hamu ya vita. Huo ni ukweli mchungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…