Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Mkuu, marekebisho.

General hajalala, amefumuliwafumuliwa vibaya sana, pete aliyokuwa akivaa ndio imewajuza kwamba na yeye kafa.hamna mtu ataosha mwili wake kabla ya mazishi, ni mapande mapande ya nyama yametapakaa.
 
Stori za vijiweni zina raha yake. Wewe ni mtaalam conspiracy theory mkuu. Hiyo ni theory na itabaki kuwa theory. Uhalisia ni kuwa Gen Qasim kauawa na alikiri kumuua ni marekani. Sasa marekani anahusika au hahusiki, hiyo ni kazi ya intelligence agencies, mengine yote ni porojo tu kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaongelea drones? ukitaka kujua America ni vichaa duniani lipua meli yao ya kivita,si ipo hapo Gulf kila siku,Mbona Iran hajawahi hata kuirushia kombora?They know it! au mwambie akashambulie a US city alafu uje utupe mrejesho hapa!
Ww jamaa unachekesha sana, katika hayo mataifa hakuna aliwahi kumshambulia mwenzie ndani ya nchi yake. Wanachofanya ni kuviziana tu na kuchomana visu mgongoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaaa alikuwa anajifanya bandidu wamembandua. Marekani akikutaka hakukosi, hata kama atachukua muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo walimchelewesha huyo general alipaswa aliwe kichwa mapema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sovereignty?Brother huyo jamaa ni equivalent to US chairman of joint chief of Staffs,sasa wamsubirie wamuue Joint chief of Staffs wa Marekani akiwa taifa lingine uone hyo sovereignity kama inafanya kazi ama lah,Iran won't dare.
Mkuu hapo umeongopa mkuu. Gen Qasim sio equivalent to JCS wa marekani. Gen Qasim ni kamanda wa Quds Force, kikosi cha Iran kinachohusika na Ops mbalimbali za Siri na wazi za nje ya mipaka yao. Hata rank ya chief of staff yaweza kuwa alikuwa hajafika mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo walimchelewesha huyo general alipaswa aliwe kichwa mapema zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother! jibu hili,inatosha kusema huna uelewa wa kinachoendelea.Full stop.
Jeshi la marekani limetoa taarifa kwamba tarehe hiyo lilifanya "precision preventive strikes" katika targets tano ndani ya Iran na Iraq.

nadhani umekuwa overwhelmed na mauaji ya General Qasemi, sasa hata ukumbuki what happened a couple of days ago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…