ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #21
Soma mada na liking hapo Juu usikurupuke we nyumbuAkili fupi, ndio mana vikwazo ni vya individuals

My Take
Mods (AI Mods) msibadilishe heading Ili wale vibaraka waisome namba.
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
View: https://www.instagram.com/p/DZcmzLhssbw/?igsh=c3dlN2kzbHZuMXVj
How? Nani ameiua?Kwahiyo issue ya kujitegemea imekufa tena.
Amelegea,wapi nimesema aufyate? Siko kwenye payroll yeyote Wala sipambani Kwa lolote badala yake napenda kuona Nchi hii haiingiliwi Wala kupangiwa na hao bwana zenu.Hata kama unapambana ili uonekane ili payroll iendelee sio kwa uchawa huu... Eti marekani aufyata 🤣🤣🤣🤣. Aufyate kweny kanchi masikini kamwisho kbs hakana hata impact kimataifa 🤣🤣🤣. Hatuna ubavu wa kutunishiana misuli na mabeberu!! Wakitaka kumshughulikia yotote ni chaap chaap
Yaani Samia aende Urusi Marekani itetemeke.How? Nani ameiua?
well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥 👊My Take
Mods (AI Mods) msibadilishe heading Ili wale vibaraka waisome namba.
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
Kama hujui umuhimu wa kimkakati wa Tanzania lazima ushangaeYaani Samia aende Urusi Marekani itetemeke.
mno,Yaani Samia aende Urusi Marekani itetemeke.
Mkuu, shule ulikimbia? Harafu ❌ halafu ✅Uwe na tatizo na Viongozi binafsi harafu useme unatathmini uhusiano mzima wa Nchi na Nchi kisa stori za upande mmja.
My Take
Mods (AI Mods) msibadilishe heading Ili wale vibaraka waisome namba.
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
UGORO MTUPUMy Take

Haina tofauti na kushangilia kunguru kukunyea kidogo😂😂My Take

Tumeshaanza kuwekewa vikwazo na EU?.Waliona wanapoteza mshirika
Nimesema Beberu Mkuu USA kalegea,Beberu wadogo (Ulaya) wameufyata.

Tatizo ni kwamba uhusiano wa nchi mbili unaweza kuharibika kwasababu ya viongozi walioko madarakani. Although leaders don’t always act in the best interest of their countries, there’s no way you can sanction the rogue leaders and cause absolutely zero collateral damage to the country’s interests. Kwa kiasi fulani, nchi lazima itaumia!Uwe na tatizo na Viongozi binafsi harafu useme unatathmini uhusiano mzima wa Nchi na Nchi kisa stori za upande mmja.
Sasa kweli unadiriki kusema hutaki kuona tukipangiwa na kuingiliwa mamb yetu? Yaan unaombaomba kwao misaada wanakupa mingi halafu hutaki wa kupangie? Be serious bas, hutaki kupangiwa jitegemee kwa kila kitu na hiyo bado haitoshi maan watakutafuta tu kwa lolote mpaka wakupige mimba!! NATO tu yenyew inamtegemea marekani kweny budget ya ulinzi wenye pesa pale arabuni wapo loyal kwa marekani ndo ije kua bongo kanchi hakawezi hata kujitemea? NB: Acheni ujuaji wa kujidai tuna nguvu ya kuwabinulia mabeberu mdomo!! Visa tu tumeona bungeni wabunge walivyoruka na kukanyagana kila mmoja analia kivyake 🤣🤣🤣🤣Amelegea,wapi nimesema aufyate? Siko kwenye payroll yeyote Wala sipambani Kwa lolote badala yake napenda kuona Nchi hii haiingiliwi Wala kupangiwa na hao bwana zenu.