Umeongea pointKama ungekuwa unasoma na kuelewa ungegundua kwamba Marekani haina tatizo na Tanzania bali ina tatizo na mazafakas wa Serikali ya CCM, ambao (kama unavyoona) dawa yao inaendelea kuchemka jikoni.
Tayari Nchimbi na Kombo wako huko USA kuongea na beberu asiweke vikwazo. Badala ya kusema wameufyata jipongeze kwa jinsi mlivyo walilia wawasamehe.My Take
Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani?
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
Ukitaka kummaliza target usimwache akaenda Mbali , ukute yuuesiei anatimia mbinu hii🤔My Take

Kuwepo kwenye anga la watu hao ni hatari. Ni vyema wamarekani watusahau kwani kwa historia nchi yetu haichezi michezo ya kua kibaraka wao. Ukweli kama nchi nyingi tunaiogopa nchi hiyo yenye hila mbaya nyingi. Sisi tunataka kuheshimiwa uhuru wetu.
My Take
Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani?
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
===
Mabadiliko yaliyofanyika ni kwenye kipengele cha 7 cha muswada huo ambapo awali ilipendekezwa kuweka zuio la misaada ya kijeshi kwa Tanzania
View attachment 3606463
Ambapo kwenye maboresho ya muswada kipengele hicho kimeondolewa huku sehemu nyingine nyingi zikisalia kama ilivyokuwa awali
View attachment 3606464
Yaani ile tu kutungiwa muswada, tayari ni red flag. Vipengele vipunguzwe makali au vinginevyo!My Take

Kawaulize Mimi Sina jibu..kwani marekebisho yameelekeza waliohusika na mauaji wasitajwe, au kuchukuliwa hatua?
..kwa maoni yangu sioni kilichopunguzwa ktk yale wanayoyadai wanaharakati.
Masikini ChoiceVariable, kweli jeuri ya jinga inafikirisha!Kawaulize Mimi Sina jibu
Nani aliwauwa watanganyika wale wasio na hatia?My Take
Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani?
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba Tanzania ni Nchi ya Kimkakati wataruka na kukanyagana ila lazima waje.
Haya ndio matokeo ya Kishindo Cha Ziara ya Rais Samia Nchini Russia kilivyotokisa Kuta za Mabeberu Hadi wamelegea.
==============
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya nchi hizo mbili.
Hatua hiyo imebainika katika marekebisho ya Muswada wa S.4577 unaohusu kutathmini upya uhusiano wa Marekani na Tanzania, unaotarajiwa kujadiliwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani Juni 17, 2026.
Mabadiliko makubwa zaidi ni kuondolewa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano wa usalama na kijeshi kati ya Marekani na Tanzania. Rasimu ya kwanza ilitaka msaada wa kiusalama pamoja na fedha za maendeleo vizuiwe, lakini sasa kipengele hicho kimefutwa.
Mbali na kuondoa kipengele cha msaada wa kiusalama, toleo jipya la muswada huo, limeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji wa Marekani kuendelea Tanzania, iwapo hatua hiyo itaonekana kuwa na maslahi kwa taifa hilo.
Muswada huo pia umeongeza mamlaka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuruhusu baadhi ya misaada au uwekezaji kuendelea ikiwa itahitajika kwa maslahi ya taifa la Marekani.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
Iwapo utapitishwa na kamati, muswada huo bado utahitaji kupitishwa na Seneti nzima, Baraza la Wawakilishi na hatimaye kutiwa saini na Rais wa Marekani kabla ya kuwa sheria.
Source ITV
===
Mabadiliko yaliyofanyika ni kwenye kipengele cha 7 cha muswada huo ambapo awali ilipendekezwa kuweka zuio la misaada ya kijeshi kwa Tanzania
View attachment 3606463
Ambapo kwenye maboresho ya muswada kipengele hicho kimeondolewa huku sehemu nyingine nyingi zikisalia kama ilivyokuwa awali
View attachment 3606464
Wakitukazia 'mabeberu' wakilegeza 'wafadhili'.....My Take

a.
Kumbe Tanzania iko kwenye hot soup hivyo serikali hata haisemi. Aisee, ndo maana samia hajui ashike lipi.My Take