Marekani yaondoa baadhi ya masharti makali kwa Tanzania

Hata kama unapambana ili uonekane ili payroll iendelee sio kwa uchawa huu... Eti marekani aufyata 🤣🤣🤣🤣. Aufyate kweny kanchi masikini kamwisho kbs hakana hata impact kimataifa 🤣🤣🤣. Hatuna ubavu wa kutunishiana misuli na mabeberu!! Wakitaka kumshughulikia yotote ni chaap chaap
 
Amelegea,wapi nimesema aufyate? Siko kwenye payroll yeyote Wala sipambani Kwa lolote badala yake napenda kuona Nchi hii haiingiliwi Wala kupangiwa na hao bwana zenu.
 
well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥 👊
 
 
Jamani wakati mwingne mtulegezee sisi manyumbu unajua hatujitambui, tunapanua tu vidole kuliko kupanua akili

Hoja yetu ni kukutukana tu.
 
UGORO MTUPU
 
Haina tofauti na kushangilia kunguru kukunyea kidogo😂😂
 

Unafurajhisha kama yanayokuja
 
Uwe na tatizo na Viongozi binafsi harafu useme unatathmini uhusiano mzima wa Nchi na Nchi kisa stori za upande mmja.
Tatizo ni kwamba uhusiano wa nchi mbili unaweza kuharibika kwasababu ya viongozi walioko madarakani. Although leaders don’t always act in the best interest of their countries, there’s no way you can sanction the rogue leaders and cause absolutely zero collateral damage to the country’s interests. Kwa kiasi fulani, nchi lazima itaumia!

Hiyo hoja ya stories za upande mmoja ni kichaka chenu cha kipumbavu. USA ina watu wake on the ground. Haitegemei stories za kuambiwa na Mtanzania yeyote. As a matter of fact, Serikali ya Marekani inaijua Tanzania kuliko ng’ombe wa Mama wanavyoijua!
 
Amelegea,wapi nimesema aufyate? Siko kwenye payroll yeyote Wala sipambani Kwa lolote badala yake napenda kuona Nchi hii haiingiliwi Wala kupangiwa na hao bwana zenu.
Sasa kweli unadiriki kusema hutaki kuona tukipangiwa na kuingiliwa mamb yetu? Yaan unaombaomba kwao misaada wanakupa mingi halafu hutaki wa kupangie? Be serious bas, hutaki kupangiwa jitegemee kwa kila kitu na hiyo bado haitoshi maan watakutafuta tu kwa lolote mpaka wakupige mimba!! NATO tu yenyew inamtegemea marekani kweny budget ya ulinzi wenye pesa pale arabuni wapo loyal kwa marekani ndo ije kua bongo kanchi hakawezi hata kujitemea? NB: Acheni ujuaji wa kujidai tuna nguvu ya kuwabinulia mabeberu mdomo!! Visa tu tumeona bungeni wabunge walivyoruka na kukanyagana kila mmoja analia kivyake 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…